| Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji (wa tatu kushoto) akikabidhi tuzo ya ushindi wa pili katika kitengo cha benki ndogo na za kati katika tuzo za Mwasilishi Bora wa Hesabu za Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Mahesabu (NBAA) kwa mwaka 2017 kwa Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya Biashara ya DCB, Zacharia Kapama, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam juzi. Wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya NBAA, Prof. Isaya Jairo. |
No comments:
Post a Comment