Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Friday, 19 October 2018

WAZIRI MAHIGA ZIARANI NCHINI INDIA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga (Mb.), akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa India Mhe. Sushma Swaraj walipokutana katika Mkutano wa 9 wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano kati ya Tanzania na India Ngazi ya Mawaziri Uliofanyika mjini New Delhi, katika Mkutano huo uliotanguliwa na Mkutano wa Ngazi ya wataalamu wakiongozwa na Makatibu Wakuu Tarehe 15 na Tarehe 16 Octoba Ngazi ya Mawaziri. 
Mkutano ukiendelea. 
Mkutano wa Ngazi ya Mawaziri Ukiendelea mjini New Delhi.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) pamoja na Mhe. Swaraj wakiwekeana saini makubaliano ya mkutano wa 9 wa tume ya pamoja ya kudumu kati ya India na Tanzania mara baada ya kumalizika kwa majidiliano ya mkutano huo kwa Ngazi ya Mawaziri.
Continue Reading

No comments:

Post a Comment