Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga (Mb.), akisalimia na Mkurugenzi Mtendaji wa Chuo cha Ulinzi na Usalama nchini India Kapt. Guroreet S. Khurana (wa kwanza kushoto) mara baada ya kuwasili kwenye chuo cha Ulinzi na Usalama, jijini New Delhi, India. Dkt. Mahiga alifanya mazungumzo na Kapt Khurana, katika mazungumzo yao yaliyojikita katika kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na India, mazungumzo hayo yamehudhuriwa na Balozi wa Tanzania nchini India Mhe. Baraka Luvanda (Hayupo pichani). |
No comments:
Post a Comment