| Mwenyekiti wa Wabunge wa Tanzania Katika Bunge la Africa Mashariki (EALA), Dkt. Abdullah Hasnuu Makame, akiwa katika mkutano malum unaohusu masuala ya Uhamiaji jijini Rabat, Morocco, tarehe 30 - 31 Oktoba 2018. Mkutano huo umedhaminiwa na Mfalme Mohammed VI wa Morocco. |
No comments:
Post a Comment