Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Monday, 29 October 2018

BENKI YA DTB YAIBUKA NA USHINDI WA 3-1 KATIKA LIGI YA MABENKI

Mchezaji wa timu ya Soka ya Diamond Trust Bank (DTB), Murshid Ally (mwenye jezi ya rangi nyekundu) akiwania mpira na mchezaji wa Benki ya Afrika Tanzania (BOA) Hussein Rajab katika mchezo wa ligi ya mabenki inayotambulika kwa jina la ‘brazuka kibenki’ ambayo inaendelea hivi sasa. DTB iliibuka kidedea kwa kuicharaza timu ya benki ya Afrika Tanzania (BOA) kwa magoli 3-1 juzi, (27-Oktoba-2018) katika viwanja vya Lugalo jijini Dar es Salaam.
Mchezaji wa timu ya Soka ya Diamond Trust Bank (DTB), Murshid Ally (katikati) akiwatoka wachezaji wa Benki ya Afrika Tanzania (BOA) Raymond Mwakasitu (kushoto) na Hussein Rajab (kulia) katika mchezo wa ligi ya mabenki inayotambulika kwa jina la ‘brazuka kibenki’ ambayo inaendelea hivi sasa. DTB iliibuka kidedea kwa kuicharaza timu ya benki ya Afrika Tanzania (BOA) kwa magoli 3-1 juzi, (27-Oktoba-2018) katika viwanja vya Lugalo jijini Dar es Salaam.


Mchezaji wa timu ya Soka ya Diamond Trust Bank (DTB), Hussein Juma (Jezi namba 10) akiwania mpira na mchezaji wa Benki ya Afrika Tanzania (BOA) Hosea Mwandimila katika mchezo wa ligi ya mabenki inayotambulika kwa jina la ‘brazuka kibenki’ ambayo inaendelea hivi sasa. DTB iliibuka kidedea kwa kuicharaza timu ya benki ya Afrika Tanzania (BOA) kwa magoli 3-1, juzi (27-Oktoba-2018) katika viwanja vya Lugalo jijini Dar es Salaam.

Mchezaji wa timu ya Soka ya Diamond Trust Bank (DTB), Godfrey Innocent (mwenye jezi ya rangi nyekundu) akiwania mpira na mchezaji wa Benki ya Afrika Tanzania (BOA) Ladislaus Luvango katika mchezo wa ligi ya mabenki inayotambulika kwa jina la ‘brazuka kibenki’ ambayo inaendelea hivi sasa. DTB iliibuka kidedea kwa kuicharaza timu ya benki ya Afrika Tanzania (BOA) kwa magoli 3-1, juzi (27-Oktoba-2018) katika viwanja vya Lugalo jijini Dar es Salaam.
Mchezaji wa timu ya Soka ya Diamond Trust Bank (DTB), Hussein Juma (mwenye jezi rangi nyekundu) akiwania mpira na mchezaji wa Benki ya Afrika Tanzania (BOA) Hussein Rajabu katika mchezo wa ligi ya mabenki inayotambulika kwa jina la ‘brazuka kibenki’ ambayo inaendelea hivi sasa. DTB iliibuka kidedea kwa kuicharaza timu ya benki ya Afrika Tanzania (BOA) kwa magoli 3-1, juzi (27-Oktoba-2018) katika viwanja vya Lugalo jijini Dar es Salaam.



No comments:

Post a Comment