Foreign Exchange Rates

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Tuesday, 4 September 2018

VODACOM YATOA GARI LA TISA LA M-PESA JIJINI TANGA KATIKA SHEREHE YA KUFANA

Mkuu wa kanda ya Kaskazini wa Vodacom Tanzania, Brigita Stephen (kushoto) akikabidhi kadi ya gari kwa mkazi wa Tanga Adolf Mlay, huku mkewe Amina Urssa akishuhudia. Hafla hiyo ya kusherehekea miaka 10 ya M-Pesa ilifanyika katika viwanja vya Commercial jijini Tanga. Ili kushinda, Mteja anatakiwa kufanya miamala mingi Zaidi na kutumia M-Pesa ili kujikusanyia points na kuongeza wigo wa kushinda.

Mshindi wa gari ya tisa ya M-Pesa kutoka Tanga Adolf Mlay (wa pili kushoto) akiwa na familia yake wakati wa hafla ya kukabidhiwa gari katika viwanja vya Commercial jijini Tanga.

No comments:

Post a Comment