Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Absa Banner_170926_270926

Absa Banner_170926_270926

Stanbic Bank Banner_070826

Stanbic Bank Banner_070826

Sunday, 10 June 2018

MZIGO WA KWANZA WA MUHOGO MKAVU KUTOKA TANZANIA WAINGIA CHINA

Kufuatia hatua ya kusainiwa Mkataba kati ya Serikali ya Tanzania na China kuruhusu bidhaa za muhogo mkavu kutoka Tanzania kuingia katika soko la China, mzigo wa kwanza wa kontena nne(4) za muhogo mkavu kutoka Tanzania zimeingia China wiki hii kupitia Bandari ya Qingdao. Tukio hili la Kihistoria linafungua ukurasa mpya wa zao la muhogo kuwa miongoni mwa mazao ya biashara, hivyo Serikali inawahimiza Watanzania kuchangamkia fursa hii.
Sehemu ya magunia yenye muhogo huo kutoka Tanzania yakipakuliwa. 
Sehemu ya muhogo huo.

No comments:

Post a Comment