Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday, 28 March 2018

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AZINDUA MAGARI 181 YA BOHARI KUU YA DAWA JIJINI DAR ES SALAAM MACHI 26, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimshukuru Mwakilishi wa Taasisi ya Global Fund Bw. Linden Morrison wakati akijaribu moja ya magari 181 ya Bohari kuu ya Dawa (MSD) mara baada ya kuyazindua jijini Dar es salaam Machi 26, 2018. 
Sehemu ya magari 181 ya Bohari kuu ya Dawa (MSD) yakisubiri kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Jijini Dar es salaam Machi 26, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikagua ghala la Dawa katika Bohari kuu ya Madawa (MSD) Jijini Dar es salaam kabla ya kuzindua magari 181. Pamoja naye ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, Mwakilishi wa Taasisi ya Global Fund Bw. Linden Morrison na viongozi wengine Machi 26, 2018. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa pamoja na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, Mwakilishi wa Taasisi ya Global Fund Bw. Linden Morrison na viongozi wengine wakiimba wimbo wa Taifa katika Bohari kuu ya Madawa (MSD) Jijini Dar es salaam kabla ya kuzindua magari 181 Machi 26, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikata utepe Pamoja na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, Mwakilishi wa Taasisi yaGlobal Fund Bw. Linden Morrison na viongozi wengine kwenye hafla ya uzinduzi wa magari 181 ya Bohari kuu ya Dawa (MSD) jijini Dar es salaam Machi 26, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiagana na Mwakilishi wa Taasisi ya Global Fund Bw. Linden Morrison mara baada ya kuzindua magari 181 ya Bohari kuu ya Dawa (MSD) Jijini Dar es salaam Machi 26, 2018.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

No comments:

Post a Comment