| Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk, Bilinith Mahenge (kulia), akizungumza na maofisa wa Benki ya NBC kabla ya kukabidhi zawadi ya gari aina ya Suzuki Kirikuu kwa mmoja wa washindi wa kampeni ya Malengo ya Benki ya NBC, Patrick Bartholomeo Mgimwa (hayupo pichani), katika hafla iliyofanyika mjini Dodoma jana. Kutoka kushoto ni, Meneja wa Kanda ya Morogoro, James Ndimbo, Meneja Mahusiano Sekta ya Umma na Taasisi, Pascas Mhindi na Mkuu wa Bidhaa za Wateja Rejareja, Andrew Lyimo. |
No comments:
Post a Comment