Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday, 16 January 2018

WATEJA WA UMOJASWITCH WAIBUKA NA MAMILIONI KUPITIA BAHATI NASIBU

Afisa Masoko wa UmojaSwitch, Beatrice Emmanuel (kushoto) akibonyeza kitufe kuashiria kuchezesha droo ya bahati nasibu ya Shinda na Umoja kwa wateja wake zaidi ya 32,222 waliotumia kadi za UmojaSwitch kati ya tarehe 1-8 Januari mwaka huu ambapo zaidi ya wateja 25 wameibuka washindi katika droo hiyo hafla ya kuchezesha droo hiyo imefanyika katika ofizi zao jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkaguzi wa Bodi ya Michezo yakubahatisha Bakari Maggid.
Afisa Masoko wa UmojaSwitch, Beatrice Emmanuel akizungumza na waandishi wa habari katika hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment