Mwakilishi wa Zantel-Tanga Mansoor Ally, (kulia) akikabidhi mbuzi kwa
kituo cha kulea watoto yatima cha Goodwill & Humanity Foundation kilichopo
jijini Tanga wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika katika kituo hicho, siku
ya Alhamisi ya wiki iliyopita ikiwa ni moja ya hatua ya kujitolea kwa jamii kwa
Kampuni hiyo. Zaidi ya mbuzi 100 walitolewa katika mikoa mbalimbali ya bara na
visiwani katika kuadhimisha sikukuu ya Eid Al Adha.
Afisa wa Zantel Abdallah Saadun akikabidhi mbuzi kwa walezi
na watoto wa kituo cha kulea watoto yatima cha Mazizini-Zanzibar wakati wa
hafla ya makabidhiano iliyofanyika katika ofisi kuu ya Zantel iliyopo Unguja, siku
ya Alhamisi ya wiki iliyopita ikiwa ni moja ya hatua ya kujitolea kwa jamii kwa
Kampuni hiyo ambapo zaidi ya mbuzi 100 walitolewa katika mikoa mbalimbali ya
bara na visiwani katika kuadhimisha sikukuu ya Eid Al Adha.
Meneja wa Data na Vifaa vya Intaneti, Hamza Zuheri (kushoto) akikabidhi
mbuzi kwa mwakilishi wa kituo cha kulea watoto yatima cha Malaika kilichopo
Kinondoni Malongwe jijini Dar, wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika katika
makao makuu ya ofisi za Zantel jijini Dar es salaam, siku ya Alhamisi ya wiki
iliyopita ikiwa ni moja ya hatua ya kujitolea kwa jamii kwa Kampuni hiyo. Zaidi
ya mbuzi 100 walitolewa katika mikoa mbalimbali ya bara na visiwani katika kuadhimisha
sikukuu ya Eid Al Adha.
Afisa wa Zantel Abdallah Saadun akikabidhi mbuzi kwa walezi na watoto
wa kituo cha kulea watoto yatima cha Mazizini-Zanzibar wakati wa hafla ya makabidhiano
iliyofanyika katika ofisi kuu ya Zantel iliyopo Unguja, siku ya Alhamisi ya
wiki iliyopita ikiwa ni moja ya hatua ya kujitolea kwa jamii kwa Kampuni hiyo
ambapo zaidi ya mbuzi 100 walitolewa katika mikoa mbalimbali ya bara na
visiwani katika kuadhimisha sikukuu ya Eid Al Adha. Anayeshuhudia kushoto ni
Meneja Chapa na Mawasiiano wa Zantel, Rukia Mtingwa.
No comments:
Post a Comment