Foreign Exchange Rates

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Thursday, 31 August 2017

HIKI NDICHO ALICHOKIFANYA KIPANYA KUHUSIANA NA VODACOM RED RLX

Kipanya rasmi sasa amejiunga na Vodacom RED na atakuwa anakuletea mfululizo wa maisha anayoishi sasa baada ya kujiunga na huduma hii mpya inayotolewa na kampuni ya simu nchini Vodacom Tanzania. Hatujui atatuletea nini lakini tunaimani atawapa wafuasi wake faida anazozipata akiwa na Red RLX, endelea kufuatilia hapa kuona nini atatuletea.

Vodacom Red ni mpango maalum unaojumuisha vifurushi na kulipa kadri mteja atumiavyo na lengo ni kuwafanya wateja wa Vodacom waishi bila wasiwasi linapokuja suala la mawasiliano. Vifurushi hivi vina dakika nyingi, MB za intaneti nyingi, SMS nyingi na pia dakika za kupiga simu nje ya chi.




No comments:

Post a Comment