Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Monday, 29 May 2017

AMIR JESHI MKUU RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMUAPISHA KAMISHNA WA POLISI SIMON SIRRO KUWA KAMISHNA GENERALI WA JESHI LA POLISI NCHINI MEI 29, 2017 IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Amir Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimvua cheo cha Kamishna wa Polisi Simon Sirro na kumvalisha cheo cha Kamishna Generali wa Jeshi la Polisi nchini Mei 29, 2017 Ikulu jijini Dar es salaam. 


Amir Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mkuu wa Jeshi la Polisi Mteule, Kamishna wa Polisi Simon Sirro kuwa Kamishna Generali wa Jeshi la Polisi Nchini Mei 29, 2017 Ikulu jijini Dar es salaam.
Amir Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Kamshina Jenerali wa Polisi nchini Simon Sirro mara baada ya kumuapisha Mei 29,2017 Ikulu jijini Dar es salaam. 
Amir Jeshi mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi Mteule Simon Sirro na aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Ernest Mangu. 
Amir Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Ernest Mangu.

No comments:

Post a Comment