Mkurugenzi wa Divisheni
ya Mashauri ya Madai na Usuluhishi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa
Serikali, Obadia Kameya akiwa katika picha ya pamoja na Washauri wa
masuala ya kodi (Tax Consultants) baada ya semina ya majadiliano ya namna bora
ya utekelezaji wa mabadiliko na maboresho katika sheria za kodi nchini
kuisha.Semina hiyo ilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa benki kuu ya
Tanzania.
No comments:
Post a Comment