Kwa mwaka huu – 2016 NMB imepanga kutumia zaidi ya Shilingi Bilioni 1 kusaidia jamii katika Nyanja za elimu na afya pamoja na kusaidia vipaumbele vilivyowekwa na serikali kwenye elimu ikiwa ni pamoja na Tehama na maabara kwa shule za msingi na sekondari.
![]() |
Meneja wa Tawi la NMB Turiani akikabidhi madawati kwa Mkuu wa Shule ya Msingi Mtibwa - Enock Kagonji huku Mwanafunzi wa darasa la sita Nasma Seif akishuhudia tukio hilo. |
![]() |
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mtibwa wakiwa wamekalia madawati waliyopewa na NMB. |
![]() |
Meneja wa NMB Kanda ya Mashariki – Nazaret Lebbi akikata utepe kuashiria kuanza kwa matumizi ya madawati yaliyokabidhiwa na NMB kwa shule ya msingi mtibwa. |
No comments:
Post a Comment