| Mkuu wa Huduma za Rejareja za Kibenki wa benki ya NBC, Mussa Jallow (katikati), akikata utepe kuzindua rasmi kampeni ya Malengo ya benki hiyo jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Meneja Masoko wa NBC, Alina Maria Kimaryo na kulia ni Meneja wa kampeni hiyo, Mtenya Cheya. |
No comments:
Post a Comment