| Kaimu Mkuu wa Huduma za Digitali na njia za huduma mbadala, wa NBC, Bi. Cynthia Ponera (wa pili kushoto), akipokea Tuzo ya Mkuu wa Huduma Reja Reja za Kibenki kutoka kwa Mkuu wa Idara hiyo Bw. Musa Jallow wakati wa hafla ya Retail Council Awards, iliyofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Wengine kwenye picha ni Mkuu wa kitengo cha mikopo, Bw. Andrew Lyimo (kushoto), Mkuu wa Mauzo, Bw. Mongateko Makongoro, Mkuu wa Huduma za Kibenki Binafsi, Bi. Ashura Waziri, na Mkuu wa Usimamizi wa Taarifa, Bi. Tulibako Paiti. |
No comments:
Post a Comment