Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Stanbic Bank Banner_070826

Stanbic Bank Banner_070826

Absa Loan Campaign_160426

Absa Loan Campaign_160426

Wednesday, 20 January 2016

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO BOTSWANA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watanzania waishio Botswana baada ya kuhudhuria mkutano wa SADC mjini Gaborone Januari 18, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania waishio Botswana baada ya kuhudhuria mkuatano wa SADC mjini Gaborone Januari 18, 2016. 
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akisalimiana na Watanzania waishio Botswana baada ya kuhudhuria mkutano wa SADC mjini Gaborone Januari 18, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment