| Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu ch Tumaini Dar es Salaam (TUDARCo)-Utawala, Dk. Joyce Peters Chonjo (kushoto), akikabidhi cheti kwa, Judith Peter, mmoja wa washiriki 300 wa mafunzo ya ujasiriamali yaliyoandaliwa kwa ushirikiano kati ya TUDARCo na benki ya NBC. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wa pili kushoto ni Meneja Huduma za Jamii wa NBC, Irene Peter. |
No comments:
Post a Comment