Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Saturday, 4 July 2015

KLABU YA SIMBA YASHIRIKIANA NA TIGO TANZANIA KUZINDUA HUDUMA YA SIMBA NEWS

Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu uzinduzi wa huduma ya Simba News kwa kushirikiana na Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo, kulia ni Meneja Mawasiliano ya Biashara wa Tigo Jacqueline Nnunduma na kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya EAG Group LTD Imani Kajula.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakisikiliza hotuba ya Meneja Mawasiliano ya Biashara wa Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Jacqueline Nnunduma, wakati wa uzinduzi wa huduma ya Simba News kwa ajili ya kupata habari za klabu hiyo.
Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva (kulia), akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) katika uzinduzi wa huduma ya Simba News iliyozunduliwa kwa ushirikiano wa Tigo na Simba, kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya EAG Group LTD, Imani Kajula.
Meneja Mawasiliano ya Biashara wa Tigo Jacqueline Nnunduma, (kushoto) akizungumza na Waandishi wa Habari wakati wa uzinduzi wa huduma ya Simba News uliofanyika leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Rais wa Simba Evans Aveva na kushoto ni Mkurugenzi wa EAG Group LTD, Imani Kajula ambaye ni Mshauri wa kutekeleza shughuli za Kibiashara na Masoko katika Klabu ya Simba.

No comments:

Post a Comment