Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Friday, 10 July 2015

KAMPUNI YA TIGO YAFUTURISHA JIJINI DAR ES SALAAM

Baadhi ya wafanyakzi wa Tigo na watoto wa kituo cha yatima cha Al-Madrasat Nurhuda cha Temeke wakipata futari iliyoandaliwa na kampuni ya Tigo makao makuu.
Meneja wa Rasilimali Watu wa Tigo Catherine Olaka akitoa zawadi kwa watoto wa kituo cha yatima cha Al-Madrasat Nurhuda cha Temeke mara baada ya kupata futari iliyoandaliwa na kampuni ya Tigo makao makuu Jijini Dar Es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Tigo wakiwa kwenye picha ya pamoja na watoto wa kituo cha yatima cha Al-Madrasat Nurhuda cha Temeke.
Meneja mkuu wa Rasilimali Watu wa Tigo Tanzania, Catherine Olaka akitoa zawadi kwa watoto wa kituo cha yatima cha Al-Madrasat Nurhuda cha Temeke mara baada ya kupata futari iliyoandaliwa na kampuni ya Tigo makao makuu Jijini Dar Es Salaam.
Katibu wa kituo cha watoto yatima cha Al-Madrasat Nurhud, Ustadhi Ukese Said akihojiwa na waandishi wa kituo cha Itv mara baada ya futari.
Meneja mkuu msaidizi wa Rasilimali wa Tigo , Doris Luvanda akihojiwa na waandishi wa kituo cha Itv mara baada ya futari.

No comments:

Post a Comment