Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Saturday, 25 July 2015

KAIMU KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AFUNGA RASMI MAFUNZO YA SOFREMCO

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Irene Kasyanju (kulia) akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Diplomasia, Balozi Mwanaidi Maajar wakati wa hafla fupi ya kufunga Mafunzo Maalum ya Maafisa Waandamizi wa Mambo ya Nje (SOFREMCO) iliyofanyika Chuoni hapo Jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Kaimu Katibu Mkuu, Balozi Kasyanju na Balozi Maajar wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi wa Chuo na Wizara pamoja na Wahitimu wa Mafunzo ya Maafisa Waandamizi wa Mambo ya Nje.
Baadhi ya wahitimu wa kozi hiyo ya SOFREMCO wakifurahia.
Wahitimu wengine wakiwa wenye nyuso za furaha.
Kundi jingine la wahitimu hao.
Wakufunzi wa Chuo cha Diplomasia wakibadilishana mawazo wakati wa hafla hiyo.
Wahitimu nao wakipata wasaa wa kujadili namna kozi ilivyokuwa.
Wahitimu wakipata picha za pamoja kwa kumbukumbu.
Picha ya pamoja ya Maafisa waliohitimu Kozi ya Maafisa Waandamizi wa Mambo ya Nje.
Wakifurahia.
Picha zaidi.
Kaimu Katibu Mkuu, Balozi Kasyanju akiongozana na Balozi Maajar na Viongozi wengine mara baada ya hafla fupi ya kuwapongeza Wahitimu wa Mafunzo ya SOFREMCO kukamilika.

No comments:

Post a Comment