Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe.Eng Evarist Ndikilo akiongea na wanahabari na wafanyakazi wa Kampuni ya Tigo Kibaha Mkoani Pwani kabla ya uzinduzi wa Duka Jipya. |
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Pwani Goodluck Charles akiongea na wanahabari na wafanyakazi wa Kampuni ya Tigo Kibaha Mkoani Pwani wakati wa uzinduzi wa Duka Jipya. |
Meneja wa Mawasiliano wa Kampuni ya Tigo, John Wanyancha akiongea na wanahabari na wafanyakazi wa Kampuni ya Tigo Kibaha Mkoani Pwani wakati wa uzinduzi wa Duka Jipya. |
Meneja wa Tigo tawi la Kibaha Asnat Mboya akiwakaribisha wageni waalikwa na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa Duka Jipya la Tigo Kibaha mkoani Pwani. |
Wafanyakazi wa Duka Jipya la Tigo Kibaha Mkoani Pwani (Team Tigo Kibaha) wakipozi kwenye picha ya pamoja kabla ya uzinduzi wa Duka lao.
|
No comments:
Post a Comment