Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Monday, 22 June 2015

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KWA KUSHIRIKIANA NA ASAZI ZA KIMATAIFA WILDAID, AFRICAN WILDLIFE FOUNDATION WAZINDUA KAMPENI YA KUPAMBANA NA UJANGILI WA TEMBO

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na uzinduzi wa kampeni mpya ya kupambana na ujangili wa tembo. Uzinduzi huo ulifanyika katika Hoteli ya Sea Cliff, jijini Dar es Salaam tarehe Juni 18, 2015.
Balozi mpya wa kampeni ya kupambana na ujangili wa tembo, msanii wa muziki wa kizazi kipya, Ali Kiba, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na uzinduzi wa kampeni mpya ya kupambana na ujangili wa tembo. Uzinduzi huo ulifanyika katika Hoteli ya Sea Cliff, jijini Dar es Salaam tarehe Juni 18, 2015.
Balozi mpya wa kampeni ya kupambana na ujangili wa tembo, Jacqueline Mengi, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na uzinduzi wa kampeni mpya ya kupambana na ujangili wa tembo. Uzinduzi huo ulifanyika katika Hoteli ya Sea Cliff, jijini Dar es Salaam tarehe Juni 18, 2015.

No comments:

Post a Comment