Mkurugenzi Mkuu wa NMB, Ineke Bussemaker akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi bilioni 16.5 kwa Waziri wa Fedha, Saada Mkuya katika hafla iliyofanyika wiki iliyopita mjini Dodoma. NMB ilikabidhi fedha hizo kwa serikali ikiwa ni gawio la sehemu ya faida iliyopatikana kwa mwaka 2014 ya shilingi bilioni 155.6 huku bodi ya wakurugenzi ikipitisha gawio la wanahisa la shilingi bilioni 52. Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa wizara ya Fedha, Dr. Servacius Likwelile.
|
No comments:
Post a Comment