Balozi wa Tanzania nchini Jordani mwenye makazi yake Kairo, Misri Mhe. Mohammed Hamza Mohammed akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mfalme Abdallah II wa Jordan. |
Balozi Hamza akimsikiliza Mfalme Abdallah II mara baada ya kumaliza kuwasilisha Hati za Utambulisho. |
No comments:
Post a Comment