Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Thursday 14 May 2015

MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA NBC AKUTANA NA WAFANYAKAZI NA KUWEKA MIKAKATI YA KIMAENDELEO

Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya NBC Tanzania, Edward Marks (kushoto) akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo alipokutana nao kujitambulisha na kuweka mikakati ya kiutendaji. Halfa ilifanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya NBC Tanzania, Edward Marks (wa pili kushoto) akizungumza na baadhi ya maofisa pamoja na wafanyakazi wengine wa benki hiyo alipokutana nao kujitambulisha na kuweka mikakati ya kiutendaji na kimaendeleo.
Ofisa Fedha Mkuu wa Benki ya NBC, Jaffari Matundu akitoa taarifa mbalimbali za utendaji katika idara yake wakati wa mkutano huo ambapo pia Mkurugenzi Mtendaji huyo mpya, Edward Marks alitambulishwa na kukaribishwa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Muda wa benki hiyo, Pius Tibazarwa (katikati) akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji mpya wa benki hiyo ili kuzungumza na wafanyakazi.
Baadhi ya wafanyakazi wa NBC wakiuliza maswali kwa mkurugenzi wao mpya wakati wa mkutano huo.
Baadhi ya wafanyakazi wa NBC wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji mpya wa benki hiyo walipokutana naye jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment