| Mhe. Maalim akimtambulisha kwa Bi. Lloyd Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya. |
| Mhe. Dkt. Maalim akizungumza na Bi. Lloyd. |
| Ujumbe alioambatana nao Bi. Lloyd wakifuatilia mazungumzo. |
| Bi. Lloyd nae alipata wasaa wa kuchangia hoja wakati wa mazungumzo na Dkt. Maalim. |
| Balozi Yahya (kushoto) akiwa na Katibu wa Naibu Waziri Bw. Adam Isara wakisikiliza mazungumzo kati ya Dkt. Maalim na Bi. Lloyd (hawapo pichani). |
| Mazungumzo yakiendelea. |
No comments:
Post a Comment