| Alhaji Dangote akishuka kwenye ndege na kulakiwa na Mwakilishi Mkazi wake hapa nchini, Esther Baruti wiki iliyopita. |
| Alhaji Dangote akipata maelezo kuhusu eneo alilopewa na Serikali ya Kijiji cha Mgao lenye ukubwa wa heka 2500 sawa na hekta 1000. Anatarajia kuanza kujenga bandari hiyo mwaka huu. |
| Ndege iliyomleta Dangote ikiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mtwara tayari kwenda kukagua eneo atakapojenga bandari yake. |
| Dangote akilakiwa na Esther Baruti. |
| Alhaji Dangote akilakiwa na Balozi wa Nigeria nchini, Dk. Ishaya Majanbu. |
| Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendegu akisalimiana na Alhaji Dangote. |
| Alhaji Dangote akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendegu (kushoto) Mwakilishi wake hapa nchini, Esther Baruti na Balozi Dk. Majanbu. |
| Alhaji Dangote akizungumza na Esther Baruti. |
| Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dedengu akimtambulisha Alhaji Dangote kwa wananchi alipowasili katika Kijiji cha Mgao, ambapo amepewa Dangote eneo la ujenzi wa Bandari. |
| Wananchi wakiangalia msafara wa Alhaji Dangote uliokuwa unakwenda eneo ambapo bandari itajengwa. |
| Alhaji Dangote akiwa na viongozi wa Kijiji cha Mgao pamoja na wananchi akikagua uwanja heka mbili na nusu aliyopewa kwa ajili ya kujenga makazi yake katika kijiji hicho. |
| Msafara wa Alhaji Dangote ukielekea eneo patakapojengwa Bandari. |
| Mwenyekiti wa Kijiji cha Mgao, Shaa akihojiwa na wananchi kuhusu manufaa watakayopata wanakijiji endapo Badari hiyo ikijengwa. |
| Alhaji Dangote akizungumza na wanahabari kuhusu ujenzi wa bandari hiyo. |
| Msafara wa Dangote ukitumia magari kutembelea kiwanda cha saruji kinachojengwa. |
| Alhaji Dangote akizungumza na Balozi wa Nigeria nchini, Dk. Majanbu muda mfupi kabla ya kuondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Mtwara. |
| Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendegu akimuaga Alhaji Dangote uwanjani hapo. |
| Alhaji Dangote akiteta jambo na mwakilishi wake hapa nchini, Esther muda mfupi kabla ya kupanda ndege kwenda Ethiopia na hatimaye Lagos, Nigeria. |
| Alhaji Dangote akiaga. |
| Dedengu akijadiliana jambo na Esther. |
| Balozi wa Nigeria nchini, akizungumza jambo na Dendengu pamoja na Esther. Kulia ni Paschasia Ngaiza. |
| Ndege iliyombeba Alhaji Dangote na ujumbe wake ikiondoka Uwanja wa Ndege wa Mtwara. |
No comments:
Post a Comment