Kitomari Banking & Finance Blog is a premier site for banking, finance, business, economic, investment and stock market news as well as selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the World. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.
Foreign Exchange Rates
CRDB Bank Advert_070325
Selcom Pesa Advert_110225
Standard Chartered Advert_300125
DStv Advert_090724
Tuesday, 28 April 2015
BALOZI KAMALA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA BIASHARA UBELIGIJI
Balozi wa Tanzania Ubeligiji, Laxembourg na Jumuiya ya Ulaya, Dr. Diodorus Buberwa Kamala (wa kwanza kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na viongozi kutoka nchi mbalimbali duniani baada ya ufunguzi rasmi wa Kongamano la Biashara la Kimataifa linalofanyika Genval, Ubeligiji. Makampuni zaidi ya 500 yakiwemo 50 kutoka Tanzania yanashiriki Kongamano hilo. Makampuni hapo yanatoka nchi zinazozungumza kifaransa. Tanzania ni nchi pekee inayozungumza kingereza iliyokaribishwa kushiriki. Kesho, Balozi Kamala atawasilisha mada ya kubainisha fursa za uwekezaji na biashara zinazopatikana Tanzania.
No comments:
Post a Comment