Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Thursday 5 March 2015

BENKI YA CRDB YAFANYA IBADA MAALUM YA KUMSHUKURU MUNGU

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei (kulia) akibadilishana mawazo na mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Msasani, mchungaji Elgard Metili wakati wa ibada maalum ya kumshukuru mungu kwa ajili ya mafanikio ya Benki ya CRDB katika kipindi cha mwaka 2014.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kushoto) akiwa na mke wake wakiwa katika ibada ya Shukrani kutokana na mafanikio waliyopata katika kipindi cha mwaka 2014.
Baadhi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB wakiwa katika ibada ya Shukrani.
Maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika ibada.
Mkurugenzi wa Masoko Utafiti Huduma kwa Wateja.
Bofya hapa kwa picha zaidi

No comments:

Post a Comment