Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

Wednesday, 26 November 2014

RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEA SALAMU ZA KHERI TOKA KWA RAIS BARACK OBAMA WA MAREKANI

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh. Liberata Mulamula akiwasilisha kwa Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete salamu za kumtakia kheri na afya njema kutoka kwa Rais wa Marekani Barack Obama jana jijini Baltimore, Maryland, Marekani.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea kwa furaha na ujumbe kutoka Ubalozi wa Tanzania ulioko jijini Washington DC uliomtembelea kumjulia hali na kwasilisha salamu za Rais Barack Obama, jijini Baltimore, Maryland.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi Liberata Mulamula na ujumbe wake wa maafisa waandamizi wa ubalozi wa Tanzania nchini Marekani baada ya kupokea salamu maalumu za kumtakia kheri na afya njema kutoka kwa Rais Barack Obama wa Marekani jana jijini Baltimore, Maryland, Marekani.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na maafisa waandamizi  wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani uliopo Washington D.C. wakati walipomtembelea mjini Baltimore Maryland ambapo balozi Liberata Mulamula aliwasilisha kwa Rais Kikwete Salamu maalum za kumtakia kheri na afya njema kutoka kwa Rais Barack Obama jana jijini Baltimore, Maryland, Marekani. (Picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment