Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday 18 November 2014

KIVUKO CHA MV DAR ES SALAAM CHAWASILI KATIKA BANDARI YA DAR ES SALAAM JANA ASUBUHI

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli kushoto akimuonyesha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki Meli kubwa ya mizigo iliyobeba Kivuko kipya cha MV Dar es Salaam ilipokuwa inakaribia kutia nanga katika bandari ya Dar es Salaam jana asubuhi.

Taaswira ya Kivuko cha MV Dar es Salaam kama kinavyoonekana juu ya Meli kabla ya kushushwa majini katika bandari ya Dar es Salaam jana asubuhi.

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akionyesha furaha yake ndani ya Kivuko hicho cha MV Dar es Salaam.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki kulia akiwa pamoja na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli wakisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Ukodishaji Mitambo na Huduma za Vivuko kutoka TEMESA Eng. Japhet Masele kuhusu vitu mbalimbali ndani ya Kivuko hicho cha MV Dar es Salaam.

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiwa ndani ya chumba cha Nahodha wa Kivuko hicho.

Bofya hapa kwa picha zaidi

No comments:

Post a Comment