Meneja masoko wa Tusker Lager Anitha Msangi akiongea na wasambazaji wa bia za SBL kwenye uzinduzi wa kampeni ya Tusker Fanya Kweli mjini Moshi.
Meneja usalama na Afya Emmanuel Ntoma akiongea na wasambazaji wa bia za SBL mjini Moshi katika uzinduzi wa kampeni ya Tusker Fanya Kweli Mjini humo.
Meneja masoko Orest Mbaga akiongea na wasambazaji wa bia za SBL katika uzinduzi wa kampeni ya Tusker Fanya kweli mjini Moshi.
Meneja masoko Orest Mbaga na wasamabzaji wa bia za SBL katika uzinduzi wa kampeni ya Tusker Fanya kweli mjini Moshi.
Meneja wa bia ya Tusker Lager Sialouise N Shayo na wasamabazaji wa bia za SBL pichani wakionyesha muonekano mpy wa bia ya Tusker Lager katika uzinduzi wa kampeni ya Tusker Fanya kweli mjini Mwanza.
Meneja biashara ukanda wa ziwa Avinash akiongea na wasambazaji wa bia za SBL katika uzinduzi wa kampeni ya Tusker Fanya kweli mjini Mwanza.
Katika hali tofauti kampeni ya Fanya Kweli pia imezinduliwa Moshi
ambapo kampuni ya bia ya Serengeti kupitia chapa yake ya Tusker imezindua
kampeni kama hiyo kwa wakazi wa Moshi.
Meneja usalama na Afya Emmanuel Ntoma akiongea na wasambazaji wa bia za SBL mjini Moshi katika uzinduzi wa kampeni ya Tusker Fanya Kweli Mjini humo.
Meneja masoko Orest Mbaga akiongea na wasambazaji wa bia za SBL katika uzinduzi wa kampeni ya Tusker Fanya kweli mjini Moshi.
Meneja masoko Orest Mbaga na wasamabzaji wa bia za SBL katika uzinduzi wa kampeni ya Tusker Fanya kweli mjini Moshi.
Meneja wa bia ya Tusker Lager Sialouise N Shayo na wasamabazaji wa bia za SBL pichani wakionyesha muonekano mpy wa bia ya Tusker Lager katika uzinduzi wa kampeni ya Tusker Fanya kweli mjini Mwanza.
Meneja biashara ukanda wa ziwa Avinash akiongea na wasambazaji wa bia za SBL katika uzinduzi wa kampeni ya Tusker Fanya kweli mjini Mwanza.
Meneja wa bia ya Tusker Lager Sialouise N Shayo akiongea na wasmabazaji wa bia za SBL katika uzinduzi wa kampeni ya Tusker Fanya kweli mjini Mwanza.
Baada ya kuzindua kwa mafanikio kampeni ya Tusker “Fanya Kweli” jijini Dar es Salaam hivi karibu, kampuni ya bia ya
Serengeti imezindua tena kampeni hiyo katika mikoa ya Mwanza na Moshi.
Fanya Kweli ni kampeni itakayoendeshwa
na kampuni ya bia ya Serengeti kupitia kinywaji chake cha Tusker Lager na
itaendeshwa nchi nzima. Lengo la kampeni hii ni kubadilisha fikra za watanzania
ili wawe na shauku ya kujituma katika kujitafutia maendeleo yao ili nao waishi maisha
bora.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo jijini Mwanza, Meneja
Chapa wa Tusker, Sialouise Shayo alisema, “Kampeni hii ya fanya Kweli imelenga
kuwawezesha watanzania kupata fikra mpya za kimaendeleo ili kufikia malengo
waliyojiwekea,” shayo aliwaambia wakazi wa Mwanza kwamba Fanya Kweli ipo ili
kuwawezesha kufikia malengo yao.
Akizungumza wakati wa uzinduzi huo mjini Moshi Meneja Masoko wa
kampuni ya bia ya Serengeti, Anitha Msangi alisema “kampeni ya Fanya Kweli ina
maana kuamsha mwamko mpya na kubadili fikra za watanzania na leo tunawaambia
wakazi wa Moshi kuwa ndoto yoyote uliyonayo itafanikishwa”.
Katika kuhakikisha watanzania wanailewa vizuri
kampeni hiyo, Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti, Ephraim
Mafuru alisema “Tunatarajia kuwa na programu katika redio zitakazoendeshwa kwa
wiki ambapo watu waliofanya kweli katika sekta mbalimbali wataongelea
matatizo,vikwazo walivyokumbana navyo katika safari yao ya kufanya kweli, jinsi
gani waliweza kuyatatua na ni wadau gani waliwasaidia kuweza kuvishinda vikwazo
hivyo. Pamoja na kampeni hiyo, wanywaji wa bia ya Tusker watapata nafasi ya
kushuhudia Fanya Kweli katika promosheni zitakazofanyika kwenye baa mbalimbali,
vyombo vya habari na “application” itakayowawezesha wanywaji wa Tusker
kujumuika kwa pamoja.
KUHUSU
SERENGETI BREWERIES LIMITED
Serengeti
Breweries Limited inajihusisha na utengenezaji, uandaaji, uuzaji na usambazaji
wa vinywaji vya kimea na shayiri na uwele hapa Tanzania.
Ikiwa
na makao makuu yake hapa Dar es Salaam, bidhaa za Serengeti ni pamoja na:-
Serengeti Premium Lager, Serengeti Platinum, Tusker Lager, Tusker Lite, Kibo
Gold, Uhuru Peak Lager, Pilsner Lager, Senator, The Kick na Guinness®..
No comments:
Post a Comment