Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Monday 13 October 2014

NBC YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Baadhi ya wateja wa benki ya  NBC wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Muda wa NBC, Pius Tibazarwa wakati alipokuwa akisikiliza maoni na kuwahudumia wateja katika maadhimisho ya wiki ya wateja wa benki hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita, ambapo viongozi wa benki hiyo walitumia muda wao kuhudumia wateja katika matawi mbalimbali ya NBC.

Mkurugenzi Mtendaji wa muda wa benki ya NBC, Pius Tibazarwa akitoa maelekezo kwa mmoja wa wateja, Apolonia Thadeus kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na benki hiyo wakati wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa  wateja jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo viongozi wa benki hiyo walitumia muda wao kuhudumia wateja katika matawi mbalimbali ya NBC.

Mmoja wa wafanyakazi wa benki ya NBC Bi. Jolanda Songoro (kulia) akizungumza na baadhi ya wateja katika tawi la Corporate  kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na benki hiyo wakati wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa  wateja jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita, ambapo viongozi wa benki hiyo walitumia muda wao kuhudumia wateja katika matawi mbalimbali ya NBC.

No comments:

Post a Comment