Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Stanbic Bank Banner_070826

Stanbic Bank Banner_070826

Absa Loan Campaign_160426

Absa Loan Campaign_160426

Tuesday, 27 August 2024

THE HIGHLY AWAITED NCBA GOLF SERIES 2024 RETURNS TO DAR ES SALAAM


Dar es Salaam – August 24, 2024: The NCBA Golf Series has landed in Dar es Salaam at the Gymkhana Golf Club, following the success of the initial leg in Arusha on June 29, 2024, which was attended by Honorable Damas Ndumbaro, the Minister of Culture, Arts, and Sports.


According to NCBA Bank, the Dar es Salaam edition is set to elevate the competition, attracting a diverse array of golfing talents, much like those seen in the 2023 edition, including standout players such as George Ogutu and Salim Sharif. The event is expected to draw distinguished CEOs, executives, and officials, all vying for prestigious prizes.


NCBA Bank disclosed that the winner of this year's tournament would be awarded a customized NCBA Golf Bag valued at 3 million Tanzanian Shillings and will also receive an all-expenses-paid trip to Nairobi to participate in the NCBA Golf Series Grand Finale in November. The bank emphasized that this prize reflects its commitment to elevating Tanzanian golf to the international stage, providing local talent with the opportunity to showcase their skills on some of Kenya’s most beautiful courses.


In a statement, Claver Serumaga, CEO/MD of NCBA Bank Tanzania, mentioned that the event at the Gymkhana Golf Club was designed to be of international standard, reiterating NCBA's commitment to promoting Tanzanian talent and advancing golf as a sport. He noted that the tournament is set to demonstrate NCBA's dedication through action.

Additionally, NCBA Bank announced that this year’s tournament would include a financial empowerment package titled "Maisha Ni Hesabu Na NCBA," aimed at providing attendees with valuable financial insights to help them manage, spend, and invest their money effectively.

USIKOSE PREUSSEN MUNSTER vs VFB STUTTGART LEO NDANI YA DStv BOMBA


NBC YATOA ELIMU YA FEDHA KWA WANAFUNZI SHULE YA SEKONDARI PUGU

Mkuu wa Kitengo cha Uhakiki Vigezo (Compliance) Wa Benki ya NBC, Sarah Laiser (aliesimama) akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana Pugu ya jijini Dar es Salaam walioshiriki semina fupi ya mafunzo kuhusu elimu ya fedha na akiba iliyoendeshwa na benki hiyo shuleni hapo mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa Kitengo cha Uhakiki Vigezo (Compliance) Benki ya NBC, Sarah Laiser (kulia) na Mkurugenzi wa Kitengo cha Ukaguzi wa Mahesabu wa benki ya NBC, Fulgence Shiraji (kushoto) wakikabidhi mipira ya miguu kwa Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wavulana Pugu, Mwalimu Boniface Orenda (katikati) ikiwa ni moja ya zawadi zilizotolewa na benki hiyo kwa uongozi na wanafunzi wa shule hiyo wakati semina fupi ya mafunzo kuhusu elimu ya fedha na akiba iliyoendeshwa na benki hiyo shuleni hapo mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa Kitengo cha Uhakiki Vigezo (Compliance) Benki ya NBC, Sarah Laiser (aliepiga magoti) akipanda moja ya mti wa matunda kwenye viunga vya Shule ya Sekondari ya Wavulana Pugu iliyopo Manispaa Ilala jijini Dar es Salaam ikiwa ni kumbukumbu ya ziara ya maofisa hao shuleni hapo kwa ajili ya semina fupi ya mafunzo kuhusu elimu ya fedha na akiba kwa wanafunzi. Wanaoshuhudia ni Mkuu wa Shule hiyo Boniface Orenda (alievaa suti) na maofisa wengine wa benki hiyo.
Mkurugenzi wa Kitengo cha Ukaguzi wa Mahesabu wa benki ya NBC, Fulgence Shiraji (wa pili kushoto) akipokea zawadi ya mchoro wa mkono wa nembo ya benki hiyo kutoka kwa mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana Pugu (wa pili kulia) wakati maofisa hao walipotembelea shule hiyo kwa ajili ya semina fupi ya mafunzo kuhusu elimu ya fedha na akiba iliyoendeshwa na benki hiyo shuleni hapo mwishoni mwa wiki. Wengine ni pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja wa Benki ya NBC, Salama Mussa (kushoto).
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wavulana Pugu, Mwalimu Boniface Orenda (alievaa suti) akizungumza na maofisa waandamizi wa benki ya NBC wakati maofisa hao walipotembelea shule hiyo kwa ajili ya semina fupi ya mafunzo kuhusu elimu ya fedha na akiba iliyoendeshwa na benki hiyo shuleni hapo mwishoni mwa wiki.
Wakiwa shuleni hapo maofisa wa benki hiyo walipata wasaa wa kutoa mafunzo na kuwasilisha mada mbalimbali kuhusu masuala ya fedha, ujasiriamali pamoja na kutoa fursa kwa wanafunzi hao wakiwemo wale wenye mahitaji maalum kujibu na kujadili hoja mbalimbali kuhusu mada hizo.



Dar es Salaam - Agosti 26, 2024: Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa elimu ya fedha na umuhimu wa uwekaji akiba kwa wanafunzi na walimu wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Pugu iliyopo Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam.

Hatua hiyo inalenga kutoa fursa kwa wanafunzi hao kujifunza masuala ya kifedha ili kuwajengea utamaduni wa kujiwekea akiba, kubuni mawazo ya biashara sambamba na kutambua namna ya kutumia taasisi za kifedha ikiwemo benki hiyo ili kujinufaisha kiuchumi.

Semina fupi kuhusu mafunzo hayo ilifanyika mwishoni mwa wiki shuleni hapo ikiongozwa na Mkuu wa Kitengo cha Uhakiki vigezo (Compliance) NBC, Bi. Sarah Laiser, alieambatana na viongozi wengine waandamizi wa benki hiyo akiwemo Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja wa Benki ya NBC, Bi. Salama Mussa, Mkurugenzi wa Kitengo cha Ukaguzi wa Mahesabu wa benki ya NBC, Bw. Fulgence Shiraji pamoja na maofisa wengine waandamizi. Wenyeji waliongozwa na Mkuu wa Shule hiyo Mwalimu Boniface Orenda, baadhi ya walimu pamoja na wanafunzi.

Akizungumzia hatua hiyo, Bi. Laiser alisema ni muhimu kwa kuwa inalenga kuwajengea ufahamu na ujuzi wa kifedha vijana hao wakiwemo wale wanaotarajia kuhitimu elimu ya sekondari na kujiunga elimu ya juu na wale watakaojiri.

“Elimu ya fedha kwa wanafunzi ni muhimu kwa sababu inawawezesha kuelewa mapema jinsi ya kutunza na kuendesha fedha zao, kubuni na kufuata bajeti, na kufanya maamuzi sahihi ya kifedha.’’

KIZIMKAZI: NBC YACHOCHEA UKUAJI SEKTA YA MICHEZO, BURUDANI NA UTALII

Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Theobald Sabi akizungumza mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan (katikati meza kuu) kuhusu ushiriki wa benki hiyo kwenye Tamasha la Kizimkazi Zanzibar wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa mradi wa utalii wa Samaki aina ya Kasa uliopo kwenye Pango la Salaam (Salaam Cave) katika Shehia ya Kizimkazi Mkunguni uliodhamininiwa pia na benki ya NBC kwa ushirikiano na TTCL. Wadau hao wawili walishirikiana kwa kuandaa matukio kadhaa ya kimichezo, burudani na utalii visiwani humo yaliyohusisha uwepo wa viongozi wakuu wa nchi wakiongozwa na Rais Samia na Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan (wanne kulia) akitazama watalii wakifurahia utalii wa kasa wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa mradi wa utalii wa Samaki aina ya Kasa uliopo kwenye Pango la Salaam (Salaam Cave) katika Shehia ya Kizimkazi Mkunguni uliodhamininiwa pia na benki ya NBC kwa ushirikiano na TTCL.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan (katikati walioketi) pamoja na viongozi wengine waandamizi wa serikali (walioketi) wakiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa benki ya NBC wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Theobald Sabi (katikati waliosimama) wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa mradi wa utalii wa Samaki aina ya Kasa uliopo kwenye Pango la Salaam (Salaam Cave) katika Shehia ya Kizimkazi Mkunguni.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango (katikati) akikabidhi hundi ya zawadi ya pesa taslimu TShs. 1.5 Milioni kwa nahodha wa timu ya Shule ya Sekondari Kusini iliyopo Zanzibar baada timu hiyo kuibuka mabingwa wa ligi ya soka ya Vijana wa Kizimkazi ijulikanayo kama “Samia Kizimkazi Youth Cup” kwa kuifunga Shule ya Sekondari Muyuni jumla ya magoli 3-0. Mechi hiyo ilichezwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex mwishoni mwa wiki. Wanaoshuhudia ni pamoja na Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Tabia Maulid (kushoto kwa Makamu wa Rais), viongozi waandamizi wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya, Theobald Sabi (wa tatu kulia). Mashindano hayo yalidhaminiwa na Benki ya NBC kwa kushirikiana na TTCL.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango (katikati) akikabidhi kikombe cha ubingwa kwa nahodha wa timu ya Shule ya Sekondari Kusini iliyopo Zanzibar baada timu hiyo kuibuka mabingwa wa ligi ya soka ya Vijana wa Kizimkazi ijulikanayo kama “Samia Kizimkazi Youth Cup” kwa kuifunga Shule ya Sekondari Muyuni jumla ya magoli 3-0. Wanaoshuhudia ni pamoja na Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Tabia Maulid (kushoto kwa Makamu wa Rais), viongozi waandamizi wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya, Theobald Sabi (wa tatu kulia).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango (wa pili kushoto) akishuhudia Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya NBC, Theobald Sabi (wa pili kulia) akikabidhi ‘kiatu cha dhahabu’ kwa mwanafunzi kutoka Shule ya Sekondari Muyuni ambae aliibuka mfungaji bora kwenye wa ligi ya soka ya Vijana wa Kizimkazi ijulikanayo kama “Samia Kizimkazi Youth Cup” wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi baada ya kukamilika kwa mchezo wa fainali ya ligi hiyo iliyohusisha timu za Sekondari Kusini na Shule ya Sekondari Muyuni.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NBC wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Theobald Sabi wakifuatia fainali ya ligi ya soka ya Vijana wa Kizimkazi ijulikanayo kama “Samia Kizimkazi Youth Cup” iliyochezwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex mwishoni mwa wiki.
Muonekano wa kikombe cha Bingwa ligi ya soka ya Vijana wa Kizimkazi ijulikanayo kama “Samia Kizimkazi Youth Cup”.
Wachezaji wa timu ya Shule ya Sekondari Kusini na Shule ya Sekondari Muyuni zilizopo Zanzibar wakiingia uwanjani kwa ajili ya fainali ya ligi ya soka ya Vijana wa Kizimkazi ijulikanayo kama “Samia Kizimkazi Youth Cup” iliyochezwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex mwishoni mwa wiki. 
Wachezaji wa Shule ya Sekondari Kusini iliyopo Zanzibar wakifurahia pamoja na uongozi wa timu hiyo baada timu hiyo kuibuka mabingwa wa ligi ya soka ya Vijana wa Kizimkazi ijulikanayo kama “Samia Kizimkazi Youth Cup” kwa kuifunga Shule ya Sekondari Muyuni jumla ya magoli 3-0. Wanaoshuhudia ni pamoja na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar, Tabia Maulid (kushoto kwa Makamu wa Rais), viongozi waandamizi wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya, Theobald Sabi (wa tatu kulia). 

Zanzibar - Agosti 25, 2024: Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) mwishoni mwa wiki ilishiriki kikamilifu kwenye Tamasha la Kizimkazi Zanzibar kwa kuandaa matukio kadhaa ya kimichezo, burudani na utalii visiwani humo yaliyohusisha uwepo wa viongozi wakuu wa nchi wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango na viongozi wengine waandamizi wa serikali.

Katika matukio ya michezo benki hiyo kwa kushirikiana na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) walishikirikiana kuandaa tamasha kubwa la muziki lijulikanalo kama “Bongo and Zenji flavour night” lililofanyika Paje likihusisha uwepo wa Rais Samia. Tukio hilo lilitanguliwa na mechi ya fainali ya ligi ya soka ya Vijana wa Kizimkazi ijulikanayo kama “Samia Kizimkazi Youth Cup” iliyofanyika Uwanja wa New Amaan Complex iliyoongozwa na Makamu wa Rais, Dkt. Mpango.

Fainali hiyo ilihitimishwa kwa timu ya Shule ya Sekondari Kusini kuibuka mabingwa wa kombe hilo baada ya kuifunga Shule ya Sekondari Muyuni jumla ya magoli 3-0. Katika kukabidhi zawadi kwa mabingwa hao vijana, ilishuhudiwa Makamu wa Rais, Dkt. Mpango akiwaongoza wadau wengine wakiwemo viongozi waandamizi wa serikali pamoja na wadhamini wa ligi hiyo kampuni ya Mawasiliano TTCL na benki ya NBC walioongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Theobald Sabi

Friday, 23 August 2024

DAR ES SALAAM STOCK EXCHANGE CEO MEETS WITH YANGA PRESIDENT

Bridging the worlds of finance and sports! Dar es Salaam Stock Exchange CEO, Peter Nalitolela (R) had the honor of meeting with Eng. Hersi Saidi (L) the President of Young Africans Football Club to explore opportunities for collaboration that could drive growth and innovation both on and off the pitch. The discussions centered around potential partnerships, investment strategies, and the role of sports in community development. Exciting times ahead as we work together to empower the next generation of champions.

DAR ES SALAAM STOCK EXCHANGE CEO PAYS COURTESY CALL ON NMB BANK CEO

In the spirit of collaboration and shared success, the CEO of Dar-es-Salaam Stock Exchange, Peter Nalitolela (L) met with the CEO of NMB Bank, Ruth Zaipuna (C) and Aziz Chacha (R), Treasurer of NMB Bank Tanzania's leading bank. Together, they discussed transformative strategies that will not only strengthen our financial markets but also drive sustainable economic growth across the nation. Key topics included innovative financing solutions, enhancing market accessibility, and forging stronger ties between the financial sector and Tanzanian businesses.

USIKOSE BURUDANI YA PREMIER LEAGUE WIKIENDI HII NDANI YA DStv PEKEE


DAR ES SALAAM STOCK EXCHANGE CEO PAYS COURTESY CALL ON BOT GOVERNOR

"Strengthening the pillars of our financial ecosystem!” Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) Chief Executive Officer, Peter Nalitolela (R) had the honor of visiting The Governor of Bank of Tanzania, Emmanuel Tutuba (L) and engaged in a strategic dialogue aimed at bolstering the nation’s financial stability and growth. This high-level meeting underscored our commitment to collaboration and innovation in Tanzania’s financial sector on:

• Monetary Policy Alignment

• Liquidity Enhancement

• Capital Market Development

• Regulatory Synergy

• Financial Inclusion

• Technology Integration


DSE TEAM PARTICIPATES IN THE CRDB BANK MARATHON 2024

The DSE team proudly participated in the 2024 CRDB Bank Marathon, reflecting our strong partnership with CRDB Bank and our ongoing commitment to fostering staff health and wellness. Together, we are advancing towards a healthier and more collaborative future.

Thursday, 22 August 2024

TCB BANK CALL FOR INDEPENDENT BOARD DIRECTOR APPLICATIONS

TANZANIA MORTGAGE MARKET UPDATE AS AT 30 JUNE 2024

BANK OF TANZANIA MONTHLY ECONOMIC REVIEW - JULY 2024

AIR TANZANIA FLEET EXPANSION YIELDS SIGNIFICANT ECONOMIC BENEFITS



Tanzania is rapidly establishing itself as a regional aviation hub, thanks to the expansion of Air Tanzania Company Limited’s (ATCL) fleet.

The on-going government investment in ATCL, which includes the addition of new aircraft, is already generating substantial economic benefits. Over the past three years, the airline has earned revenue of 182 million US dollars (about 492bn/-).



The latest addition to the fleet, a Boeing B787-8 Dreamliner, was officially received by Zanzibar President Dr. Hussein Mwinyi at Abeid Amani Karume International Airport (AAKIA) on Tuesday.

This new aircraft brings ATCL’s fleet number to 16 aircraft which include three B787-8 widebodies; one B767-300F widebody freighter; two B737-9 narrow bodies; four A220-300s; and six regional turboprops (one DHC-8-Q300 and five DHC-8-Q400s).



The Minister for Transport, Makame Mbarawa said the new B787-8 would allow ATCL to expand its network and frequencies.

The 262-seater would open new routes to Kinshasa N’Djili and Goma (DR Congo), Lagos (Nigeria), and Muscat (Oman).

The national flag carrier currently serves 13 domestic destinations. Its international services cover Entebbe (Uganda); Nairobi (Kenya); Bujumbura (Burundi); Moroni (Comoros); Lubumbashi (DR Congo); Ndola and Lusaka (Zambia); Harare (Zimbabwe); Mumbai (India); Guangzhou (China); and Dubai (UAE).

Economic Impact

Professor Godius Kahyarara, Permanent Secretary in the Ministry of Transport, said the increase of aircraft has enhanced the airline’s ability to serve both domestic and international destinations and increased revenue for the airline as well as the government through taxes.

This expansion has generated over 492bn/- in revenue over the past three years.

MANCHESTER CITY vs IPSWICH NDANI YA DStv MAISHA MAGIC POA CH. 144


BENKI YA TCB YASISITIZA KUENDELEA KUWA MDAU MKUBWA WA MAENDELEO ZANZIBAR


Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeungana na wananchi wa kizimkazi Zanzibar kwenye siku ya utalii kusherehekea ufahari wa utamaduni wa Kitanzania, vivutio vya utalii, umoja na mshikamano katika tamasha la Kizimkazi linaloendelea kufanyika visiwani Zanzibar.


Benki imeendelea kusisitiza dhamira yake ya kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika vipaumbele vyake katika kukuza maendeleo ya kiuchumi, kutengeneza ajira, na kuwezesha ujumuishi katika kukuza uchumi wa buluu na upatikanaji wa huduma za kifedha visiwani humo.


Akizungumza wakati wa tamasha la Kizimkazi, Mkurugenzi Mtendaji wa TCB Bw. Adam Mihayo amebainisha, dhamira ya TCB ya kukuza maendeleo ya kiuchumi na uchumi jumuishi ni dhahiri katika kila jambo wanalolifanya kwani wanaelewa kwamba mfumo thabiti wa kifedha ni uti wa mgongo wa uchumi imara.


Mihayo amesema Kama sehemu ya dhamira hii, Benki ya TCB imejizatiti kutumia fursa mbalimbali lengo likiwa kuboresha maendeleo ya kiuchumi ya Wazanzibari na Mojawapo ya mikakati hiyo ni mkataba wa makubaliano uliotiwa saini hivi karibuni baina ya benki na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (ZEEA).


“Ushirikiano huu ni mpango wa utoaji wa mikopo inayolenga kuwanufaisha wanawake, vijana na makundi maalum wanaojihusisha na shughuli za kiuchumi visiwani Zanzibar Lengo kuu ikiwa ni kuvifikia vikundi 70, na tayari TZS milioni 151 zimekwisha tolewa kati ya TZS milioni 300 zilizotengwa kwa ajili ya kuwainua wajasiriamali,” amesema Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya TCB, Bw. Adam Mihayo.


Mihayo amebainisha kuwa Mpango huu unakusudia kuchochea ukuaji wa biashara, ongezeko la ajira, na maendeleo ya kiuchumi katika ukanda huu wa Afrika Mashariki.

DSE & CRDB TO DEEPEN COLLABORATION IN THE CAPITAL MARKETS FINANCING SPACE

Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) CEO, Peter Nalitolela (L), held a strategic meeting with his counterpart, the Group CEO & MD of CRDB Bank PLC, Abdulmajid Nsekela (R), who leads one of the largest banks in Tanzania and a key player on the DSE. Their discussions focused on deepening collaboration in the capital markets financing space, enhancing liquidity, and exploring innovative products to drive investor participation and economic growth. Together, they are paving the way for a stronger and more inclusive financial ecosystem for Tanzania.

Wednesday, 21 August 2024

NBC YAKABIDHI ZAWADI ZENYE THAMANI YA MIL. 40 KWA WASHINDI WA KAMPENI

Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, Pudensiana Lihamwike (kulia) akikabidhi zawadi ya friji mpya kwa Renalda Lema mkazi wa jijini Dar es Salaam baada ya mkazi huyo ambae ni mteja wa benki hiyo kuibuka mshindi wa kampeni ya mmoja wa washindi wa ’Shinda mechi zako Kinamna yako’ ya benki hiyo inayolenga kuchochea ukuaji wa uchumi miongoni mwa wateja wake kupitia uwekaji wa akiba. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye tawi hilo.


Kupitia kampeni hiyo inayolenga makundi mbalimbali ya kijamii na kiuchumi ambao ni wateja wa benki hiyo wakiwemo wateja binafsi, waajiriwa, wamiliki wa biashara ndogo na wanafunzi ilishuhudiwa washindi wakiibuka na zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja na fedha taslimu, simu za mikononi, ‘laptops’, friji, ‘tablets’ za watoto, bima za afya pamoja na majiko ya kisasa ya kupikia.

Dar es Salaam - Agosti 21, 2024: Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekabidhi zawadi zenye jumla ya Tsh Milioni 40 kwa washindi wa kampeni yake ya ’Shinda mechi zako Kinamna yako’ inayolenga kuchochea ukuaji wa uchumi miongoni mwa wateja wake kupitia uwekaji wa akiba.

Jumla washindi 45 wamepatikana katika kipindi cha miezi mitatu ya kampeni hiyo ya mwaka mmoja kupitia droo za kila mwezi zilizofanyika Makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam zikihusisha maofisa wa benki hiyo pamoja na wawakilishi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini.

Kupitia kampeni hiyo inayolenga makundi mbalimbali ya kijamii na kiuchumi ambao ni wateja wa benki hiyo wakiwemo wateja binafsi, waajiriwa, wamiliki wa biashara ndogo na wanafunzi ilishuhudiwa washindi wakiibuka na zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja na fedha taslimu, simu za mikononi, ‘laptops’, friji, ‘tablets’ za watoto, bima za afya pamoja na majiko ya kisasa ya kupikia.

“Pamoja na zawadi hizo, mwisho wa mwezi huu (Agosti) tunatarajia kutoa zawadi ya gari moja aina BMW X1 ambayo ni kati ya gari mbili tulizopanga kuzitoa kama zawadi kuu katika kampeni itakayodumu kwa kipindi chote cha mwaka huu,’’ alisema Bw Moses Senkoro, Mtaalamu wa Masoko benki ya NBC, wakati akitoa tathmini ya miezi mitatu ya kampeni hiyo inayohamasisha tabia ya uwekaji wa akiba miongoni mwa watanzania kupitia taasisi zilizo rasmi.