- Yatoa msaada wa vifaa maalum kwa watu wenye ulemavu
Msafara wa Twende Butiama unadhaminiwa na wadau kadhaa wakiwemo ABC Impact, ABC Bicycle, serikali za mitaa, vilabu vya baiskeli vya kitaifa na kikanda pamoja na mashirika ya maendeleo. Vyombo vya habari vinatarajiwa kuwa sehemu muhimu katika kufikisha simulizi, sauti, na nyuso za wanufaika wa msafara wa Twende Butiama.
No comments:
Post a Comment