Meneja Mauzo kutoka Vodacom Tanzania Plc kanda ya kusini, Baraka Musabila (kushoto) akimwekea mafuta mteja wa Vodacom Fadhili Tumaini (katikati). |
Msimamizi wa Mauzo M-Pesa Tanzania Kanda ya Kusini kutoka Vodacom, Evelyne Mwinuka akimwekea mafuta mteja wa Vodacom Sharifa Shaban. |
Afisa Mauzo kutoka Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Kusini, Brown Msigwa (katikati) akiweka mafuta yaliyotolewa bure kwa wateja wa Kampuni hiyo jijini Mbeya kwenye Bajaj ya Emmanuel Jacob (kulia). |
No comments:
Post a Comment