"Mwaka huu, tunajivunia kuendelea kuwa sehemu ya jambo hili linalochangia kuleta mabadiliko Chanya kwenye jamii. Mbio za mwaka 2024 zimepanua wigo, kujumuisha mafunzo ya ujuzi wa kidijitali na kambi za matibabu zitakazohusisha uchunguzi na elimu kuhusu magonjwa yasiyoambukiza kwenye mikoa 12 nchini. Tunawahimiza waendesha baiskeli wote wa umbali mrefu na mfupi kujisajili na kuungana nasi kufanikisha jambo hili. Hii ni pamoja na wadau wengine na wapenda maendeleo walio tayari kushirikiana nasi,” alisema Bi. Zuweina Farah, Mkurugenzi wa Mahusiano na Vodacom Tanzania Foundation.
Blog Rebranding Teaser_030826
Stanbic Bank Banner_070826
Absa Loan Campaign_160426
Friday, 2 August 2024
UZINDUZI WA MBIO ZA BAISKELI ZA VODACOM TWENDE BUTIAMA 2024
"Mwaka huu, tunajivunia kuendelea kuwa sehemu ya jambo hili linalochangia kuleta mabadiliko Chanya kwenye jamii. Mbio za mwaka 2024 zimepanua wigo, kujumuisha mafunzo ya ujuzi wa kidijitali na kambi za matibabu zitakazohusisha uchunguzi na elimu kuhusu magonjwa yasiyoambukiza kwenye mikoa 12 nchini. Tunawahimiza waendesha baiskeli wote wa umbali mrefu na mfupi kujisajili na kuungana nasi kufanikisha jambo hili. Hii ni pamoja na wadau wengine na wapenda maendeleo walio tayari kushirikiana nasi,” alisema Bi. Zuweina Farah, Mkurugenzi wa Mahusiano na Vodacom Tanzania Foundation.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

.jpeg)
.jpeg)

.jpeg)
No comments:
Post a Comment