- Yaahidi kukuza viongozi wa baadaye kupitia mpango huo wa mafunzo.
- Programu imebadilika kuwa ya miezi 12 kwa mafunzo maalum.
- Asilimia 93 ya uhifadhi, kuimarisha uongozi wa kibenki na athari chanya kwa sekta za fedha.
Benki ya Stanbic Tanzania inaendelea na dhamira yake ya kukuza na kuendeleza talanta za kiwango cha juu ndani ya benki.
No comments:
Post a Comment