Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Friday 21 June 2024

FURAHIA MECHI ZA EURO 2024 NDANI YA DStv KWA BUKU 10 TU




#euro2024nibongeladili
#EURO2024onDStv
#mfalmewasokanidstv
#sokabiladstvhalinogi

KILOMBERO SUGAR YAZINDUA KAMPENI YA USHIRIKISHAJI WAKULIMA NA UWEKEZAJI


Kilombero, Morogoro Juni 21, 2024 – Kampuni ya Kilombero Sugar inajivunia kutangaza uzinduzi wa kampeni ya Ushirikishaji wakulima na uwekezaji kama sehemu ya Mradi wake wa Kupanua kiwanda cha K4. Wenye kaulimbiu ya "Soko la kuaminika, kipato endelevu, na kuboresha maisha," kampeni hii inalenga kuimarisha maendeleo miongoni mwa wakulima wa miwa kupitia mawasiliano ya kimkakati na ushirikiano na wadau.


Kampeni hiyo imezinduliwa rasimi katika mashamba ya miwa ya Kilombero na imefanikiwa kuhudhuriwa na watu wengi, ikijumuisha ushiriki wa wasimamizi, maafisa wa serikali za mitaa, na wakulima wa miwa, ambao wote ni viungo muhimu katika mnyororo wa thamani wa kilimo cha miwa.


Kutokana na changamoto za msimu uliopita zilizosababishwa na mvua kubwa zilizopelekea El Nino, Kilombero Sugar imechukua hatua madhubuti ya kuwatuliza na kuwaliwaza wakulima kupitia mradi wa wa upanuzi wa kiwanda cha K4. Ambao hadi sasa umefikia 90%, Huu ni uwekezaji mkubwa kuwahi kufanywa na illovo barani Afrika. Mradi huu mkubwa unathibitisha imani ya kampuni kwa jamii ya wakulima wa ndani, ambao watazalisha 60% ya miwa inayohitajika katika kiwanda hicho.

Akizungumza katika hafla hiyo, Bw. Pierre Redinger ambaye ni Mkurugenzi wa Wakulima wa nje Kilombero Sugar, amesisitiza jukumu muhimu la jamii katika jitihada hizi , Amesema “Uwekezaji wetu katika Mradi wa Kupanua kiwanda cha K4 unatokana na imani tuliyonayo kwa wakulima wetu, Safari hii ilianza mwaka 2018 kwa usajili wa wakulima, ukiungwa mkono na Ofisi ya Wilaya ya Kilombero, ambao ulifungua njia kwa biashara hii muhimu."

Wednesday 19 June 2024

EURO 2024 NI BONGE LA DILI NDANI YA DStv! UNAKOSAJE???




Piga *150*53# kulipia kifurushi

#euro2024nibongeladili
#mfalmewasokanidstv
#sokabiladstvhalinogi
#EURO2024onDStv
#unakosaje

SAMSUNG GALAXY S24 ULTRA SET TO ENHANCE AND OPEN UP THE OLYMPIC BROADCAST AND VIEWER EXPERIENCE LIKE NEVER BEFORE AT THE OLYMPIC GAMES PARIS 2024


In collaboration with the IOC, and OBS, Samsung Galaxy technology will provide fans around the world with a new, up-close view of the world’s greatest athletes during the Games.

SEOUL, Korea – June 19, 2024 – Samsung Electronics Co., Ltd., a Worldwide Olympic and Paralympic Partner, today announced its plans alongside the International Olympic Committee (IOC), and Olympic Broadcasting Services (OBS) to revolutionize the Paris 2024 broadcast experience for viewers and fans. New, first-of-its-kind footage – which will be captured and shared with Samsung Galaxy S24 Ultra – will play an integral role in opening up the historic Opening Ceremony on the Seine River and the Olympic Games’ sailing competitions like never before.


As the Official Smartphone and Computing Equipment partner of the Olympic and Paralympic Games, Samsung will harness its advanced mobile technology and 5G connectivity to provide a closer perspective of these iconic celebratory and competition moments. This new view, powered by Samsung Galaxy innovation, will not just help Paris 2024 deliver on its promise to be the most open Games ever, but also further Samsung’s legacy of innovation in support of the Olympic and Paralympic Games.


“In an increasingly connected society, Samsung Galaxy mobile technology has helped deepen and transform users’ relationships with the world, wherever they are. Having been a Worldwide Partner for nearly three decades, we know first-hand how important it is to create and enable the same meaningful connections at the Olympic and Paralympic Games,” said Stephanie Choi, EVP & Head of Marketing of Mobile eXperience Business at Samsung Electronics. “We’re honored to be working closely with the IOC and OBS to provide high quality footage that will be part of a series of firsts at Paris 2024 and bring fans at home and onsite even closer to the excitement.”


In about a month, the Opening Ceremony of the Olympic Games will take place outside of a stadium for the first time ever. Paris 2024 will see 10,500 athletes float down the Seine River in designated boats for each national delegation, in what aims to be the most open and accessible opening ceremony in history. Departing from the Austerlitz bridge, the iconic parade will follow a six-kilometer route through the centre of Paris, passing some of the official Olympic Games venues before the ceremony’s grand finale at the Trocadéro.

Tuesday 18 June 2024

ABSA LAUNCHES VEHICLE ASSET FINANCE FOR PURCHASE OF BRAND NEW & USED CARS

Absa Bank Tanzania Head of Retail Banking, Ms. Ndabu Swere (centre), speaks at a media conference during the official launch of Absa’s Vehicle Asset Finance facility in Dar es Salaam. Looking on are, Absa Bank Marketing and Communication Manager, Mr. Beda Biswalo (left), and the Bank’s Head of Asset Products, Ms. Patricia Nguma.

Dar es Salaam, Wednesday, 12 June 2024: Absa Bank Tanzania has once again continued to prove its leadership in product and service innovation with the launch of Vehicle Asset Finance (VAF) as it aims to making car ownership more accessible and affordable for its customers.

Absa Vehicle Asset Finance (VAF) is a medium-term financing solution designed to help the bank’s customers purchase both new and used vehicles at local dealerships without the need to have the full purchase price funds upfront. This solution reflects on the bank’s strategic focus on providing financial solutions that resonate with its customers' lives and aspirations.

Speaking in Dar es Salaam at the launch of Absa VAF, the Head of Retail Banking at Absa Bank Tanzania, Ms. Ndabu Swere, said, “We are extremely excited to launch Vehicle Asset Finance. This is testament to our commitment to listen to our customers and solutioning their challenges and needs. We understand that purchasing a car is not easy because cars are not cheap, and since people are not always liquid, they may need assistance from somewhere and especially when car dealers need upfront payments. So, this is where Absa Vehicle Asset Finance comes in.

Through Absa VAF, our customers will enjoy financing of up to 90% for brand new cars, and up to 80% for used cars with the financed vehicle serving as the collateral. The product offers numerous benefits to our customers, including allowing customers to obtain funds to purchase a vehicle of their choice at the time when they wouldn’t have all the funds upfront. It frees the customer’s cash, leaving them with more flexibility to either invest or use their savings for any unforeseen costs that may come up during the year. It gives the customer instant access to the car as soon as the bank completes the VAF loan process. It reduces the financial burden on the customer by allowing the customer to spread the cost over time with smaller regular payments with the customer only needed to provide a small amount upfront.”

MFALME WA TAMTHILIA NI DStv. UNAKOSAJE???



#mfalmewatamthilianidstv
#tamthiliabiladstvhainogi
#unakosaje

ECOBANK LAUNCHES 2024 FINTECH CHALLENGE WITH US$50,000 PRIZE

  • The 2024 Ecobank Fintech Challenge has opened applications for early-stage and mature startups to partner with Ecobank across its 35 African markets.
  • This marks the 7th edition of the Fintech Challenge.
Lomé, Togo, 7th June 2024 – Ecobank , the pan-African financial services Group, officially opens call for applications to the 7th edition of its Fintech Challenge. This annual competition invites early-stage and mature fintech startups to partner with Ecobank, offering a grand prize of US$50,000 and a chance to scale their solutions across Ecobank’s extensive network spanning 35 African countries.

Despite the fintech eruption in the African continent, a McKinsey report[1] reveals that fintech start-ups in Africa are still facing several challenges such as reaching scale, navigating an uncertain regulatory environment, or managing scarcity of funding. The Ecobank Fintech Challenge provides a unique opportunity for Fintech Entrepreneurs to address these challenges by not only offering financial rewards but by also providing Ecobank’s expertise in diversified markets operations and the right solutions to scale across its pan-African footprint and international presence such as France.

"Building partnerships with fintechs is a catalyst for driving financial inclusion in Africa. At Ecobank, we prioritize fintechs in our Growth, Transformation, and Returns strategy ", said Jeremy Awori, Chief Executive Officer of Ecobank Group. "We have enhanced this new edition of the Ecobank Fintech Challenge to continue to provide fintech entrepreneurs with a premier platform to showcase groundbreaking solutions, while creating unparalleled opportunities for growth and expansion across 35 markets in Africa."

Last year’s competition attracted 1,490 entries of real quality, which underscores the significance of this pan-African challenge. Successful applicants reaching the Grand Finale and Awards Ceremony in October 2024 will have the chance to join the highly coveted Ecobank Fintech Fellowship programme, with the overall winner receiving a cash prize of US$50,000.

SAHARA VENTURES YAITANGAZA RASMI SAHARA SPARKS 2024


Juni 14, 2024, Dar es Salaam – Sahara Ventures yatangaza rasami tukio la Sahara Sparks 2024 litakalo fanyika tarehe 27 na 28 Septemba katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, Tanzania. Sahara Sparks ni jukwaa linalo waleta pamoja wabunifu mbalimbali wa teknolojia, wafanyabiashara pamoja na wadau mbalimbali wa maendeleo na teknolojia na kuwapa fursa ya kushiriki maonesho ya kibiashara pamoja na kujadili maswala mbalimbali ya teknolojia, maendeleo na uchumi.


Kwa takribani miaka 9 sasa Sahara Sparks imekua ikifanyika kila mwaka na kwa mwaka huu inakuja na kaulimbiu ya “Watu, Ujuzi na Ulimwengu mpya wa ajira”. Kwa kutambua changamoto na pengo lililopo baina ya ujuzi unaohitajika na ule unaopatikana katika soko la ajira, Sahara Sparks inalenga kukabiliana na changamoto hii kwa kuandaa mijadala mbalimbali itakayo ongeza ufahamu kuhusu hii changamoto na kuleta suluhu za kimkakati ikiwemo kuunda sera zitakazo saidia kutatua changamoto hii.


Akizungumza na vyombo vya habari wakati wa kuitangaza rasmi Sahara Sparks katika ofisi za Sahara Ventures Mhandisi Samson Mwela , Mkurugenzi wa Menejimenti ya Maarifa kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) ali toa rai kwa kampuni changa za ubunifu wa teknolojia (startups), sekta binafsi na wadau mbalimbali wa maendeleo kushiriki kwenye maonesho na mijadala mbalimbali itakayo andaliwa katika wiki ya Sahara Sparks ambayo kilele chake kitakua tarehe 27-28 Septemba, 2024 kwenye ukumbi wa Mlimani city.

VODACOM FOUNDATION YAFADHILI PROGRAMU MAALUM 'CODE LIKE A GIRL'

Mwezeshaji wa programu ya Tehama, Suna Salumu, akiwaelekeza wanafunzi wa kike katika Chuo Cha Ualimu Butimba, Mwanza, wanaoshiriki katika programu maalum ijulikanayo kama 'Code Like A Girl' yenye lengo la kuwahamasisha wanafunzi wa kike kupenda masomo ya Sayasi, Hisabati, na Teknolojia (STEM). Mpango huu unaofadhiliwa na Vodacom Tanzania Foundation, unalenga kuwafikia zaidi ya wanafunzi wa kike 2,000 katika mafunzo yaliyofanyika katika mikoa ya Mwanza, Mbeya, Arusha, Dodoma, na Dar es Salaam.

Zaidi ya wasichana 2000 wenye umri kati ya miaka 14-18 kutoka shule za sekondari zilizopo kutoka mikoa ya Mwanza,Mbeya Arusha,Dodoma na Dar-es-saalam wanatarajia kunufaika na mradi wa ‘Code Like a girl’ wenye lengo la kuhamasisha masomo ya Sayansi, Hisabati na Teknolojia(STEM).

Akizungumza wakati wa ufundishaji wa masomo hayo jana katika chuo cha Ualimu Butima,Mratibu wa mradi huo kutoka Tanzania Data Lab(DLab),Somoe Mkwachu amesema mradi huo wanashirikiana na kampuni ya Vodacom.


Amesema wameamua kuja na mradi huo ili kuhamasisha watoto wengi wa kike kupenda masomo ya Hisabati, Sayansi na Teknolojia kwa lengo la kuweza kutimiza ndoto zao katika elimu.

"Katika mradi wetu tunafundisha wanafunzi kutumia Kompyuta katika masomo yao pia. Huwa tunachagua wanafunzi kuanzia 70 kutoka shule pendekezwa na kuwapa elimu ya kompyuta kwa muda wa siku tano haswa wakati wanapokuwa Likizo" amesema.


Amesema katika mafunzo waliotoa katika mkoa wa Mwanza kwa awamu mbili wamefanikiwa kutoa elimu hiyo kwa wanafunzi 192 kutoka shule za sekondari Nyakurunduma, Butimba day,Mkolani,Shamaliwa,Nasco na Musabe.

Amesema programu hiyo huwa inafanyika katika kipindi cha likizo za shule kama vile mwezi wa sita, likizo fupi ya mwezi wa 9 pamoja na mwezi wa 12.

BENKI YA NBC KUIMARISHA USHIRIKIANO NA WATEJA MKOANI DODOMA


Benki ya Taifa ya Biashara kupitia timu ya kitengo cha Biashara na Uwekezaji (CIB), imefanya Ziara ya kukuza ushirikiano pamoja na ubunifu kwa wateja katika tasnia ya Benki Mkoani Dodoma.

Aidha katika ziara hii Timu ya NBC ilipata nafasi ya kumsalimu Mhasibu Mkuu wa Serikali Ndg.Leonard Mkude katika Ofisi za Wizara ya Fedha Dodoma pamoja Mkurugenzi Mtendaji wa TARURA Eng.Victor Seff katika Ofisi za TARURA zilizoko Mtumba Dodoma


Ushirikiano baina ya taasisi za kifedha na wateja ni muhimu kutokana na mabadiliko ya mara kwa mara ya mazingira ya ubunifu na maendeleo ya kiteknolojia. Hivyo benki ya NBC imefanya ziara hii kama sehemu ya kuwasikiliza wateja na kuboresha huduma ili kukidhi mahitaji yao.

Akizungumza wakati wa hafla ya chakula cha jioni, iliyoandaliwa na NBC katika viwanja vya Collina Hoteli ambayo ilihudhuriwa na baadhi ya wateja. Mkurugenzi wa wateja wakubwa NBC, Bw.James Meitaron, Amesema “Tunaamini kuwa ufunguo wa kuwa mtoa huduma wa kipekee ni kuelewa mahitaji na matakwa ya wateja wetu. Hivyo kupitia ziara hizi tunapata mapendekezo na ushauri wenye suluhu zenye ubunifu wa kuboresha uzoefu wa kibenki kwa ujumla”


Wateja waliohudhuria hafla hii, wameonyesha kufurahishwa na mkakati huu wa NBC connect wenye lengo la kugusa biashara zao. Ambapo wamepata fursa ya kueleza changamoto zinazowakumba na kutoa ushauri ambao utarahisisha zaidi shughuli na huduma za kifedha mkoani humo.

Benki ya taifa ya biashara NBC wameahidi kuendelea kujali na kusikiliza matakwa ya wateja wao ambapo hivi karibuni wanatarajia kuendeleza ziara hiyo katika mkoa wa kanda ya ziwa ambao ni Mwanza pamoja na mkoa uliopo kanda ya kaskazini Arusha.

SBL YAKABIDHI MRADI WA MAJI KWA WAKAZI 12,000 WILAYA YA MAGU

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Serengeti Breweries, Obinna Anyalebechi wakiwatwika ndoo za maji wanawake wa kijiji cha Kabila kuashiria uzinduzi wa mradi wa maji Kijijini hapo.

Magu, Juni 13, 2024: Kampuni ya Bia Serengeti na shirika lisilo la kiserikali, African Community Advancement Initiative (AFRIcai) wamezindua mradi wa maji wenye thamani ya shilingi milioni 215 katika Kijiji cha Kabila wilayani Magu mkoani Mwanza ikiwa ni jitihada za kuwapelekea maji safi na salama wananchi wa eneo hilo.


Ukiwa na uwezo kwa kuhudumia wakazi 12,000 mradi huo unahusisha ufungaji wa pampu ya kuzamisha ndani ya kisima, ujenzi wa nyumba ya pampu, tanki la kuhifadhi maji, mtandao wa mabomba ya maji, na vituo vipya vya maji 13 vyenye uwezo wa kutoa mita za ujazo 87,000 za maji kwa mwaka.


Mgeni rasmi katika hafla hiyo, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, aliwapongeza SBL na AFRIcai kwa kutoa msaada muhimu kwa wakazi wa Kijiji cha Kabila, alinukuliwa, ‘‘mashirika haya binafsi yamekuwa mstari wa mbele katika kukuza miradi ya maendeleo nchini ambayo inawezesha kuwepo kwa jamii iliyo na uzalishaji na afya bora. Mtanda aliongeza, ‘‘Ushirikiano kati ya SBL na AFRIcai unathibitisha dhamira ya sekta binafsi kwa uwajibikaji wa kijamii na maendeleo endelevu. Kwa kuwekeza katika miradi inayolenga mahitaji msingi ya jamii kama usambazaji wa maji, SBL na AFRIcai wanadhihirisha dhamira yao ya kuboresha ustawi wa jamii ya watanzania na kuchochea mafanikio ya muda mrefu."


Nae Meneja Mahusiano ya Serikali wa SBL, Neema Temba alisema kuwa mradi huo ambao unajulikana, Water for Life (Maji kwa ajili ya uhai) ni miongoni mwa mikakati ambayo kampuni hiyo ya bia inaendesha katika mikoa ya Iringa, Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Mwanza, Singida, Mara, Tanga, Ruvuma, Dar es Salaam, Pwani na Dodoma ikiwa imewanufaisha zaidi ya watu milioni mbili kwa maji safi na salama.


“Mwaka huu, Serengeti Breweries Limited (SBL), kwa kushirikiana na African Community Advancement Initiative (AFRIcai), tumekamilisha ujenzi wa mradi huu muhimu wa maji katika kata ya Kabila, Wilaya ya Magu, Mkoa wa Mwanza. Kwa kutambua kwamba maji ni hitaji la msingi la maisha na moja ya rasilimali muhimu zaidi, SBL kupitia mpango wake wa kusaidia jamii, imekuwa ikitekeleza miradi ya maji katika maeneo mbalimbali ya nchi kwa lengo la kutoa maji bure kwa watu wanaoishi katika maeneo yenye uhaba mkubwa wa maji nchini. Kupitia sera ya Water fo Life hadi sasa tumetekeleza miradi 26 ya maji katika maeneo yenye uhaba wa maji katika sehemu mbalimbali za nchi, ambapo zaidi ya watu milioni 2 wamenufaika na miradi hii ambayo inalenga kutoa maji safi na salama.”


EURO 2024 PORTUGAL vs CZECHIA SAA 4:00 USIKU NDANI YA DStv



HEINEKEN LAUNCHES 'AFTERWORK BY HEINEKEN' IN TANZANIA

Lilian Pascal, Marketing Manager of Heineken Beverages Tanzania, speaks to journalists at the launch of the 'Afterwork by Heineken' campaign for the first time in Tanzania. ‘Afterwork By Heineken’ is an ongoing event designed to offer a refreshing and engaging atmosphere for professionals to unwind and network after a busy workday while providing an opportunity for them to connect creating a Health Work-Life balance.
Employees of Heineken Beverages Tanzania, led by the company's Marketing Manager, Lilian Pascal (centre), along with invited guests, at the launch of the 'Afterwork by Heineken' campaign for the first time in the country.
Employees of Heineken Beverages Tanzania, led by the Resident Manager of the company, Obabiyi Fagade (left), along with invited guests, at the launch of the 'Afterwork by Heineken' campaign for the first time in the country.
Employees of Heineken Beverages Tanzania, led by the Resident Manager of the company, Obabiyi Fagade (Left), along with invited guests, at the launch of the 'Afterwork by Heineken' campaign for the first time in the country.

Heineken Introduces Globally Acclaimed Party, Afterwork By Heineken, In Tanzania

Dar es Salaam, Tanzania, June 14, 2024 – Tanzania’s working professionals were introduced to the ultimate cooling off experience on Thursday, June 13, 2024 as leading global beverage company, Heineken launched its globally acclaimed party, Afterwork By Heineken, at Samaki Samaki Masaki, Tanzania.

The Samaki Samaki Masaki Restaurant known for its excellent food and ambiance provided the perfect backdrop for the gathering of exclusive professionals across various industries including business executives, socialites, public personalities, digital media creators, and owners who experienced the unique blend of socializing and entertainment that Heineken is known for worldwide.

Afterwork By Heineken is designed to offer a refreshing and engaging atmosphere for professionals to unwind and network after a busy workday while providing an opportunity for them to connect.

In today's society, maintaining a healthy and motivated workforce is intrinsically linked to the concept of work-life balance which is essential for cultivating a flourishing workforce and nation.

Obabiyi Fagade, Country Manager, Tanzania at Heineken Beverages International, said, “We are honored to introduce the ‘Afterwork By Heineken’ to our esteemed customers in Tanzania and we are thrilled with the success of our first event here. Afterwork By Heineken is designed to provide an unforgettable experience where our consumers savor that refreshing first sip and appreciate the craftsmanship behind every bottle. The turnout and enthusiasm we saw at Samaki Samaki Masaki were incredible. Heineken is passionate about bringing people together, and we are excited to be creating new opportunities to foster togetherness.”

BANK OF AFRICA HAILS GOVERNMENT FOR TABLING 'WORKABLE BUDGET'

Dodoma Regional Commissioner, Rosemary Senyamule (right) with Bank of Africa Tanzania (BOA Bank) Managing Director, Esther Cecil Maruma.
BOA Bank Managing Director, Esther Cecil Maruma (second right row) explains the bank's plans to empower people economically to the Dodoma Regional Commissioner, Rosemary Senyamule’s when she visited the RC’s office with other senior bank officers.
BOA Bank Managing Director, Esther Cecil Maruma (left) signs the visitors’ book when she paid a courtesy visit to Dodoma Regional Commissioner, Rosemary Senyamule. on the right is BOA Bank Finance Manager, Derick Lugemala.
BOA Bank Head of Marketing and Communications, Nandy Mwiyombela (left) and BOA Bank Dodoma Branch Manager, Asia Mwangonela.
Dodoma Regional Commissioner Rosemary Senyamule (centre) with a delegation of BOA Bank Senior officers led by Managing Director Esther Cecil Maruma (second left) when she visited Dodoma Region recently. On the right is BOA Bank Head of Marketing and Communications, Nandy Mwiyombela and second right is Finance Manager, Derick Lugemala. On the extreme left is Assistant RAS, Mwajabu Nyamkomora.
BOA Bank Managing Director, Esther Cecil Maruma (centre) with the Bank's Head of Marketing and Communications, Nandy Mwiyombela (right) and the Bank's Finance Manager, Derick Lugemala (left) at the Parliament Office in Dodoma where they attended a parliamentary session on the 2024/2025 fiscal year budget.
BOA Bank Managing Director, Esther Cecil Maruma (centre) follows Minister for Finance Mwigulu Nchemba’s speech for the 2024/2025 fiscal year.

Bank of Africa Tanzania (BOA Bank) has hailed President Samia Suluhu Hassan’s government for coming up with a down-to-earth budget which boosts business growth in line with the country’s economic development.

It also expressed its commitment to making improvements in serving all customers, the business community and companies in achieving the government's agenda to promote financial inclusion in Tanzania.

Commenting on the 2024/2025 fiscal year budget read by Minister for Finance Dr. Mwigulu Nchemba, BOA Bank Managing Director, Esther Cecil Maruma, who led a BOA Bank delegation of senior officers to attend a budget session in Parliament recently, said this year’s budget aimed at promoting the country’s economy. She said as it was the case around the globe in recent years, many countries experienced economic meltdown due to various global challenges, including Covid-19 and the war between Russia and Ukraine.

Thursday 13 June 2024

ACCESS MICROFINANCE BANK REBRANDS TO SELCOM MICROFINANCE BANK

Deal Done! Selcom Paytech Tanzania CEO - Samir Hirji (right), shakes hands with the Access Microfinance Bank CEO - Julius Ruwaichi to commemorate the transition of Access Microfinance Bank to Selcom Microfinance Bank. Samir Hirji is now the majority shareholder, with a 65% share in the company.
Moderating the announcement event at Hyatt Kilimanjaro Hotel, Miss Shumbana Walwa, Selcom Head of Marketing.
CEO of the previously Access Microfinance Bank now Selcom Microfinance - Julius Ruwaichi speaks to invited guests during the official announcement of Access Bank rebranded to Selcom Microfinance, Selcom Paytech Tanzania is the Majority shareholder.
A representative from the Board, Tusekile Kibonde giving her remarks on behalf of the Board Chair.
A group photo of The Board of Directors and Shareholders of Selcom Microfinance Bank.

Dar es Salaam - We are excited to announce a significant milestone in our journey towards better serving you, Access Microfinance Bank Tanzania Limited is undergoing a transformation. Effective from June 4th, 2024, we will proudly operate under the new name, Selcom Microfinance Bank Tanzania Limited. This rebranding reflects our commitment to evolving with the changing needs of our customers and our dedication to providing innovative financial solutions.

Selcom Paytech Limited, our majority shareholder, has been a trusted name in the financial and payment service industry for over 20 years. Renowned for pioneering advancements and reliability, Selcom Paytech has continuously been at the forefront of innovation in the country. As we transition to Selcom Microfinance Bank Tanzania Limited, we bring with us the same level of dedication, reliability, and innovation that you have come to expect.

As part of the rebranding, Selcom Microfinance Bank Tanzania Limited introduce a fresh visual identity, with core brand colors transitioning to red, white and black. While our brand look evolves, our promise to you is to deliver improved services that exceed your expectations.

From streamlined processes to enhanced product offerings, we are dedicated to making your banking experience with Selcom Microfinance Bank Tanzania Limited more convenient, efficient, and rewarding, ensuring a seamless transition for our customers, with all service centers remaining operational under existing premises.

USIPITWE NA MICHUANO YA EURO MECHI ZOTE 51 LIVE NDANI YA DStv




Usipitwe na michuano ya EURO 2024, mechi zote 51 LIVE kwa muonekano angavu kupitia channel zetu za SuperSport ndani ya DStv pekee na kupatikana kwenye vifurushi vyetu vyote vya DStv Biashara. 

Lipia mapema, tupigie 0768 988 801.