Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Thursday, 16 May 2024

DKT. NCHEMBA AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA ECOBANK

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Ecobank Tanzania, Bw. Charles Asiedu, baada ya kikao kilichoangazia ushirikiano kati ya Serikali na benki hiyo, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Ecobank Tanzania, Bw. Charles Asiedu, kuhusu ushirikiano kati ya Serikali na benki hiyo, alipomtembelea katika ofisi za Wizara ya Fedha, jijini Dodoma.
Mkurugenzi Mkuu wa Ecobank Tanzania, Bw. Charles Asiedu, akimuelezea Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (hayupo pichani), mafanikio ya benki hiyo wakati alipomtembelea ofisini kwake jijini Dodoma.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza na ujumbe wa Ecobank Tanzania (hawapo pichani) ulioongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Benki hiyo, Bw. Charles Asiedu, jijini Dodoma.
Kamishna Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Sekta ya Fedha, Bi. Dionesia Mjema, akifafanua jambo wakati wa kikao cha Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), na ujumbe kutoka Ecobank Tanzania, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiuongoza ujumbe wa Wizara hiyo katika picha ya pamoja na ujumbe wa Ecobank Tanzania ulioongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa benki hiyo, Bw. Charles Asiedu, baada ya kikao kilichoangazia ushirikiano kati ya Serikali na benki hiyo, jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment