| Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja na Kidigitali wa Vodacom Tanzania, Belinda Wera (kushoto) akiwa na Meneja wa Makusanyo, Charles Daniel wakiwa wameshikilia vyeti walivyokabidhiwa baada ya kushinda tuzo za Annual Tanzania Service Excellence Awards 2024 zilizoandaliwa na Chartered Institute of Customer Management (CICM) mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Kampuni hiyo ilishinda vipengele vya kitengo cha utoaji wa huduma bora kwa wateja (mshindi), mtandao bora wa huduma za mawasiliano na intaneti (mshindi wa pili), na uwajibikaji kwa shughuli za kijamii (mshindi wa pili). |
No comments:
Post a Comment