| Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweli, wakisikiliza kwa makini wasilisho la Kampuni ya NMS Infrastructure ya nchini Uingereza, kutoka kwa Mratibu wa Kampuni hiyo kwa nchi za Afrika Mashariki, Bw. Tom Vaughan (hayupo pichani), kwenye mkutano wa Ujumbe wa Kampuni hiyo na Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) na Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb), jijini Dodoma. |
No comments:
Post a Comment