| Mawakala wa usajili wa kampuni ya Vodacom Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa kampuni, makao makuu ya ofisi jijini Dar es Salaam. Mawakala hao waliagwa kuanza ziara ya kutembelea Afrika ya Kusini ikiwa ni jitihada iliyotambulishwa mapema mwaka huu na kampuni hiyo kuwazawadia mawakala wa usajili kutokana na utendaji bora wa kazi. |
No comments:
Post a Comment