Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Friday, 11 March 2022

VODACOM YATOA MISAADA HOSPITALI YA RUFAA DODOMA

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, Dkt. Ernest Ibenzi akizungumza na wafanyakazi wa Vodacom kanda ya kati kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani. Kushoto ni meneja mauzo wa Vodacom Mkoa wa Dodoma, Balikulije Mchome.
Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania PLC Mkoa wa Dodoma, Balikulije Mchome (wa pili kushoto) akizungumza na wafanyakazi wa Vodacom na wauguzi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Dodoma wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambapo wafanyakazi wa kampuni hiyo walitoa misaada mbalimbali kwenye wodi ya wazazi. Watatu kushoto ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo, Dkt. Ernest Ibenzi.
Msimamizi wa maduka ya Vodacom kanda ya kati, Suzan Mwaipopo (katikati) akiwapa zawadi watoto mapacha waliozaliwa usiku wa kuamkia maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani yaliofanyika hivi karibuni. Kushoto ni mzazi wa mapacha hao, Neema Brayson na kulia mfanyakazi wa Vodacom, Halima Bandawe.



No comments:

Post a Comment