| Mkurugenzi wa Biashara Vodacom Tanzania PLC, Linda Riwa (kulia), Mkurugenzi wa Rasilimali watu Vodacom Tanzania PLC, Vivienne Penessis (katikati ) na Meneja wa Mawasiliano Vodacom Tanzania PLC, Alex Bitekeye wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kukabidhiwa tuzo ya "Woman of the Future" waliyonyakua kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambapo kampuni ya Vodacom ilishinda kwa kuwa na zaidi ya asilimia 40 ya wanawake katika menejimenti. Tuzo hizo za The Citizen "Rising Woman" ziliandaliwa na kampuni ya Mwananchi communications Ltd. |
No comments:
Post a Comment