Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Monday 28 March 2022

DStv INAKULETEA USIKU WA MAKOROKOCHO



Usiku wa Makorokocho

@dstvtanzania inakueletea usiku wa kuvunja mbavu na wakali wa Vichekesho kutoka Tanzania, Uganda na Nigeria.

Kutana na Wakongwe kazini Original comedy wakiongozwa na Masanja Mkandamizaji, Mwarabu wa Dubai Mpoki, Mac Regan Kipara Mwanaumee na Wakuvwanga aka Mama Imma wanarudi kwenye Jukwaa la Stand Up comedy kwa mara ya kwanza baada ya miaka zaidi ya 7 ya kukosekana.

Original comedy watapata support kutoka kwa Mzee Shayo, Deogratius na Munga kutoka kundi la @watubaki. Na kutoka Uganda anashuka Salvador wakati Nigeria itawakilishwa na Kevin Pam.

Usiku wa Makorokocho utafanyika siku ya Alhamisi, tarehe 31 March 2022 na utarushwa LIVE na DStv pekee kupitia Maisha Magic Poa inayopatikana ndani ya kifurushi cha POA kwa TShs.9,900 tu kwa mwezi.

Makorokocho comedy night, hakika hii si ya kukosa! Piga *150*53# kulipia kifurushi chako cha DStv sasa!
@str8upvibes_

No comments:

Post a Comment