Joto linazidi kufukuta katika viwanja vya kandanda barani Ulaya huku zikiwa zimebaki siku chache kuanza kwa mtifuano wa ligi kubwa za Ulaya.
Cha kufurahisha ni kwamba wale wababe wa burudani -SuperSport ndani ya DStv, wameweka mambo hadharani kwamba biriani la Soka Ulaya msimu huu litakuwa live la motomoto ndani ya DStv.
Tunaanza wikiendi hii, ambapo nyasi za viwanja Ulaya zitaanza kuwaka moto.
No comments:
Post a Comment