| Katibu Tarafa wa Wilaya ya Kinondoni akimkabidhi mfano wa ufunguo mshindi wa Bajaji mpya mshindi wa kwanza wa promosheni ya Twende Mjini na M-Pesa Nyanjige Paul (kushoto) jijini Dar es Salaam. Vodacom Tanzania Plc kupitia huduma yake na M-Pesa inaendesha promosheni ya Twende mjini na M-Pesa kwa wiki nane ambapo kila siku kuna mshindi wa piki piki mpya, bajaji mpya kwa kila siku siku saba huku mshindi wa jumla akijishindia gari mpya aina ya Toyota SUV. |
No comments:
Post a Comment